figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
R.I.P MHE. DIWANI ZABRONDIWANI AFARIKI DUNIA.
Diwani wa Viti Maalum wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Semeni Musa Mtoka, alimefariki dunia leo Machi 31, 2026.
Marehemu Mtoka amefariki Dunua wakati alipokuwa akipatiwa matibabu katika Cardinal Rugambwa Hospital.
Mwenginee huyu naye kafa
View attachment 3565648
Nimezoea kuone CCM na wafuasi wao wanaojiita "Wasiojulikana' Wakiua watu. Walivyoua Watoto wetu 29.10.2025, wengine kuwazika kaburi la pamoja, sikutegemea nao wafe.
Kweli Mungu Shujaa. Kumbee na CCM wanakufa! π€ Sasa kwanini wanatupoteeza kana kwamba hawafi
Kifo cha jambazi wa CCM sio hasara kwa taifa. Mungu ikimpendeza aendelee kuwaondoa!DIWANI AFARIKI DUNIA.
Diwani wa Viti Maalum wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Semeni Musa Mtoka, alimefariki dunia leo Machi 31, 2026.
Marehemu Mtoka amefariki Dunua wakati alipokuwa akipatiwa matibabu katika Cardinal Rugambwa Hospital.
Mwenginee huyu naye kafa
View attachment 3565648
Nimezoea kuone CCM na wafuasi wao wanaojiita "Wasiojulikana' Wakiua watu. Walivyoua Watoto wetu 29.10.2025, wengine kuwazika kaburi la pamoja, sikutegemea nao wafe.
Kweli Mungu Shujaa. Kumbee na CCM wanakufa! π€ Sasa kwanini wanatupoteeza kana kwamba hawafi
Huu ni mtazamo wa kishamba sana.CCM watapukutika mpaka watakapotubu dhambi ya mauaji