Nimeshangaa sana leo baada ya kufika Dege Kigamboni

Nimeshangaa sana leo baada ya kufika Dege Kigamboni

Hela za mafao za wastafu zilizikwa hapo ndo maana JPM alifuse mifuko ili apate ACCESS ya kuchota mihela
 
Nilikuwa Dege Kigamboni siku ya leo,
Nimeshangaa sana baada ya kuona majumba makubwa sana ya ghorofa,
majumba kama utitiri,
baada ya kuuliza nikaambiwa ni mradi unaitwa Dege Eco Village.
kwa haraka haraka tunaweza kusema ni kama kariakoo au hata zaidi.

Nakosa hata ya kuandika maana bado nashangaa.
hela zimelala pale matrioni nadhani.
Wapi picha
 
Unajua kabisa unaleta uzi unaohitaji picha halafu unaweka maneno Matupu, BullShit
 
Enz zile za mama Tibaijuka kulikuwa na plan nzuri ya kuijenga kigamboni kuwa jiji ndani ya jiji la Dsm, so Nssf walichangamkia fursa ya kuwekeza ktk majengo, unfortunately sijui ikatokea shetani gan katikati ile project ikafa , hapo ndipo pabaya ila ile project ingetiki ingekuwa poa sanaa
 
Back
Top Bottom