Nimeshangaa sana leo baada ya kufika Dege Kigamboni

Hela za mafao za wastafu zilizikwa hapo ndo maana JPM alifuse mifuko ili apate ACCESS ya kuchota mihela
 
Wapi picha
 
Unajua kabisa unaleta uzi unaohitaji picha halafu unaweka maneno Matupu, BullShit
 
Enz zile za mama Tibaijuka kulikuwa na plan nzuri ya kuijenga kigamboni kuwa jiji ndani ya jiji la Dsm, so Nssf walichangamkia fursa ya kuwekeza ktk majengo, unfortunately sijui ikatokea shetani gan katikati ile project ikafa , hapo ndipo pabaya ila ile project ingetiki ingekuwa poa sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…