Hivi wafanyakazi wa NSSF wamesomea wapi?Kuna watu nawafaham kampuni yao ilifungwa, kwahio wakaamua kuchukua chao NSSF.
Ila wanazungushwa hatari, mara leo mara kesho.
Hahaha, unataka ujilipue?Me mwenyewe niko mbioni.
Kwa nini usipige kazi mpaka umri wa miaka 60 mkuu.Kuna haja voluntary retirement age ya nchi hii iwe 35 na mandatory retirement age iwe 40! Tatizo litakuwa limekwisha. Beyond 40 tuwaachie wanasiasa tu maana wao kazi zao hazifungwi na umri; ajabu sana!
Aifuem mkuu tumesoma social securities/ public insuarance mtusamehe ndugu zetu sio sisi ni wakuu wetu ndio wanawazungusha sisi wengine ni mbulukenge tu.Hivi wafanyakazi wa NSSF wamesomea wapi?
Wamepewa mpaka uniform lkn productivity is almost nil.
Wamesha terminate mkataba [emoji23][emoji23], jiajiri mwayaMe mwenyewe niko mbioni.
Wamebebwa wengi wao, kile kizazi cha Dau bado kipo.Hivi wafanyakazi wa NSSF wamesomea wapi?
Wamepewa mpaka uniform lkn productivity is almost nil.
Wewe mnalipwa allowance nyingi, mnapewa mafuta kila mwezi lakini output zeroaifuem mkuu tumesoma social securities/ public insuarance mtusamehe ndugu zetu sio sisi ni wakuu wetu ndo wanawazungusha sisi wengine ni mbulukenge tu.