Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Labda hili jambo ni geni kwa baadhi ya watu, lakini kwa waliokuwa kwenye chama kwa muda mrefu, haya mambo walitakiwa wawe wanayafahamu.
Nashangaa kuona watu wanalalamika kwamba wameonewa, ilhali walishindwa hata kujifunza na kuelewa mchakato huu tangu zamani.
Wajumbe wana kazi maalum, na hiyo ni kupiga kura kwa mujibu wa taratibu si vinginevyo.
Hivyo, mtu akishindwa kuelewa wajibu wa wajumbe na mchakato mzima wa ndani ya chama, halafu analalamika kwamba ameonewa, huo ni uzembe wa kujifunza mapema.
KAZI iendeleeee