nimetokea kuuchukia huu mkoa na sasa ndio naanza kuamini hili ndilo linalofanya mkoa wao kutoendelea mijinga sana yani inataka misafwa na minykysa myenzao ndio iwahudumie wakati kodi tuvnalipa sote
Eti mbeya nalo ni jiji... My foot
Haya malalamiko hayana ukweli wowote inaonekana ni ya kutunga tu, Inaoneka matokeo yako si mazuri hata Ualimu huna uhakika wa kupata ndo sababu umepanic hata kabla ya kutuma maombi,dead lina tar 10 july zaid ya wiki mbili mbele unachanganyikiwa leo? ha ha ha una matatizo tena makubwa tu,kwanini usitume huko unakofikiri hawabagui?,au kwa nini usimtumie ndugu yako akupelekee mkoa unaoutaka wewe? Unapiga kelele kwamba Mkoa haundelei una uhakika na hilo au sababu umefeli basi hata data za mikoa inayoendelea kwa kasi Tz huijui?
anayebisha mbeya hakuna ukabila ni mchawi wa mchanamchana,ndugu yangu kafungua saluni pande za uyole akachukua mtaalamu kutoka dar akamweka dah!mpaka alijuta na kuhisi labda hakuwa sahihi katika uchaguzi wa biashara mpaka alipobuni plan b ya kumtoa yule wa dar na kumleta mpolipoli kutoka igawilo yan sasa anafurahia biashara yake,tatizo la mbeya ukifungua biashara yako wanaanza kuuliza umetokea wapi?hili swali silipendi sana na ukimjibu kesho haji tena.
chunga kauli kijana acha generalization uliowakuta ndo wako hivyo....nimetokea kuuchukia huu mkoa na sasa ndio naanza kuamini hili ndilo linalofanya mkoa wao kutoendelea mijinga sana yani inataka misafwa na minykysa myenzao ndio iwahudumie wakati kodi tuvnalipa sote
dah!yan nimeishiwa nguvu kabisa na sijui nifanye nini maana tar10july ndio mwisho wa kuomba na hawa watu wa posta imani nao imenitoka kabisa yani toka nianze kutumia posta sijawah kufanikiwa nahisi barua hazifiki dg