Keyser Söze
JF-Expert Member
- Mar 12, 2013
- 454
- 666
Sometimes wana import kutoka middle East. Twiga mgodi wao umeenda chini sana so kutoa material kwa ajili ya kutengeneza clinker ya kutosha muda wote ni changamoto, So kuna wakati huwa wana top up. Dangote, Huaxin na Tanga Cement hawa wanajitosheleza. Tena dangote na Huaxin huwa wanawauzia pia viwanda vingine ClinkerYour right mkuu! Malighaf zote za cement znapatikana hapa hapa hata hiyo clinker kiwanda kama twiga wanazalisha wenywe wana furnaces za kutosha za kuzalisha.