Acha uongo mkuu mwezi wa sita mikoani ilikuwa 360k bando gauge 30 tena ft nane.Acha uongo mkuu kwamba pc 1=tsh.41,346? Kwamba bando 1 ni zaidi ya 600k? Mbona mkoani bei ni hiyo 27,000 kwa PC?
Ndio poa, wamiliki wa nyumba tubakie wachache...Kila mtu akijenga tutakosa wapangajiTutarudia kuezekea nyasi
Mtu akiwa na visa na wewe andika umekwisha.Jua kali joto kali
Tumia Nyasi.
Mtu akiwa na visa na wewe andika umekwisha.
Poleni Ndugu Wananchi, ila tukikuta umeanza msingi na hujalipia kibali...tutarara nawe mbere.Sasa tulipie hivyo vibali ili tujengee nini?? Unaambiwa kila kitu kimepanda bei☹
Acheni uongo bana, kila kitu kimepanda bei sio tu hivyo vinavyotoka china.Nimesoma report kutoka mwananchi, kumbe shida inaanzia china, nao wana miradi mikubwa kiasi kwamba export ya materia ya chuma imepunguzwa, kwa hiyo tujipange siku ngumu zinakuja mbeleni dont expect hizi price zishuke paap!
yaani suala la kusitisha ujenzi na lenyewe ni pasua kichwa mana unaweza kusema bei zitashuka lkn badala yake ndo zikazidi kupanda..au zikabaki kama zilivyo hlf pesa yako ya ujenzi ukawa ushailia mpunga na maharage...Bro mimi hadi ujenzi imebdi nisimame kwanza maana sielewi chief. Alaf ujue zilikuwaga 15,000 ujue....yani juzi tu hapo around july 2021 zilikua 18,000
Mtoage na specification nyoko nyie! Alaf, Kiboko au niniSikia bando Bati za rangi 30G ni 430,000 sawa na 27,000 ..Hapa ni Mbeya.
Wengi akili zao zinategemea kulishwa na education, media na uobgo mwingine toka serikalini huko, hawana akili na ku think big kuweza kutofautisha which is fantasy na which is reality!Vipi kuhusu mafuta, mbolea, vifurushi, chakula. Wachina nao wanahusika?
Unaijua Hidden Tax? Au umekariri kutokana na kulishwa matango pori kwenye EconomixYote ni mfumuko wa bei, huwezi ku control mfumuko wa bei kiurahisi kwa sababu mnyororo unaosababisha kutokea mfumuko wa bei ni mkubwa sana unahusisha sector nyingi sana ndani na nje ya nchi
Nikupe mfano, nchi nyingi zilikuwa zimejuifungia hamna uzalishaji wa kutosha kuanzia kwenye, mazao, uchimbaji madini kama chuma na aluminium, mafuta, viwanda n.k now wanajifungulia unadhani hali itakuwaje?
Wenyewe wakina nani?Unajua, hawa jamaa hawana uchungu wowote. Wenyewe ingekuwa inabidi walipe hizi bei wangeweka mazingira sahihi.
Hizo nyasi zenyewe ziko wapi na jua hiliNgoja nichangamkie fursa. Nitafute mbegu za hizi nyasi za kuezekea nizioteshe kwa wingi [emoji2957]
zote ulizotaja hapo malighafi ( au product yenyewe) zinatoka uchinaVifaa vya ujenzi viko vingi, cement, tiles, vigae, gypsum, mabati, mabomba, vifaa vya umeme nk.
Mimi hiyo Corrugated ya Alaf gauge 30 mwaka 2016 au 2017 nilinunua kwa 24000Hongera mkuu! Ukisoma vzuri nmezungumzia corrugated, waliotumia wanaweza kuleta ushaidi azijawahi kuuzwa 18k kwa bati ya futi 10
Sasa kama unalazimisha bei za gazeti la Mwananchi na wanaume wenzako wanaleta hoja with Facts, nenda basi ukanunua huko kwenye gazeti lako hilo. Shwain we!!Kwamba gazeti la Mwananchi sio reliable source? Na wewe jichekeshe ukipenda..
Umeweka bei ya kiwandani hapo sasa hiyo bei kwa retailer inazidizi 27,000-28,000 kwa PC?