Nimeshangazwa na moja ya interview ya Mo Dewji akisema "hamjui Mayele kabisa"

Nimeshangazwa na moja ya interview yakeanayosema "hamjui mayele kabisa"

Hapo hapo anajichanganya nakusahau kuwa alisema "simba inapofungwa huwa analia sana.

Sasa swali fikirishi mayele kaifunga simba Mara ngapi??
Kumbukumbu ni Mara mbili Tena kwenye kombe la ufunguzi wa ligi (ngao ya jamii)
Ina maana Mo dewj alilia Mara mbili mfululizo na hicho kilio kilisababishwa na mayele.

Ndiyo si anasema simba ikifungwa analia!!
Haya itakuaja ulie kufungwa na mtu usiye mjua??

My take aliyekaribu na mo dewj ampeleke kwa Daktari bingwa kabisa wa matatizo ya akili maana kwa hizi statement zake inadhihirisha hayupo sawa kabisa.
Watu wengi mnarukiaga vitu bila kuwa na ufahamu wa kutosha. Sikiliza hiyo interview tena na sikiliza SWALI lililoulizwa na siyo jibu peke yake.

Kwa kukusaidia tu, kama nakumbuka vizuri aliulizwa "ukiacha mechi za Simba vs Yanga, kama ameshamuangalia Mayele", ndiyo maana akatoa jibu hilo.
 
Nimeshangazwa na moja ya interview yakeanayosema "hamjui mayele kabisa"

Hapo hapo anajichanganya nakusahau kuwa alisema "simba inapofungwa huwa analia sana.

Sasa swali fikirishi mayele kaifunga simba Mara ngapi??
Kumbukumbu ni Mara mbili Tena kwenye kombe la ufunguzi wa ligi (ngao ya jamii)
Ina maana Mo dewj alilia Mara mbili mfululizo na hicho kilio kilisababishwa na mayele.

Ndiyo si anasema simba ikifungwa analia!!
Haya itakuaja ulie kufungwa na mtu usiye mjua??

My take aliyekaribu na mo dewj ampeleke kwa Daktari bingwa kabisa wa matatizo ya akili maana kwa hizi statement zake inadhihirisha hayupo sawa kabisa.
Analia kwasababu amefungwa na Yanga na sio Mayele.
 
Mkuuu

Ahahaahha

Umepiga kwenye mshono
 
TAFUTA HELA KENGE WEWE,

🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
daaah combination ya ushamba na confidence ni hatari kwa afya
 
Back
Top Bottom