Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,622
- 4,100
Mo hamjui kabisa mayele na ndio hivyo anaona vi clip vyake TU , sisi ni kina nani tumlazimishe Mtu kumjua mtu mwingineUmeelewa nilichokiandika hapo juu naona umekuja na povu tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mo hamjui kabisa mayele na ndio hivyo anaona vi clip vyake TU , sisi ni kina nani tumlazimishe Mtu kumjua mtu mwingineUmeelewa nilichokiandika hapo juu naona umekuja na povu tu.
Umeelewa nilichoandika ?? Mimi nimefunua unafiki wa boss wenu huyo anayekuja mbele ya media nakuongea utumbo.Daaah kwani kosa? Au katiba ya TFF inasemaje?kuhusu ilo
Wewe akili ndogo sana Mo big brain akili yako ndogo mno ,wewe mwenyewe haumjui mayele unamfahamu TU ,wewe sio mke wake,baba yake au ndg yake umjue ,nikuulize mayele kazaiwa wapi?anao watoto wangapi?birthday yake lini?anapenda kula chakula gani?marafiki zake ni kina nani?anapenda team gani ulaya?alizaliwa wapi?alisoma wapi ?kama hauna majibu haya ya maswali machache haumjui mayele unamfahamu TU ni mchezaji mzuri wa yanga.Akili yako ndogo hauwezi kuwelewa akili kubwa ndio maana matajiri hawajibu kama masikini.Umeelewa nilichoandika ?? Mimi nimefunua unafiki wa boss wenu huyo anayekuja mbele ya media nakuongea utumbo.
Umesikiliza interview au umekuja kutoa povu tu hapa we kenge maji popoma mkubwa.Wewe akili ndogo sana Mo big brain akili yako ndogo mno ,wewe mwenyewe haumjui mayele unamfahamu TU ,wewe sio mke wake,baba yake au ndg yake umjue ,nikuulize mayele kazaiwa wapi?anao watoto wangapi?birthday yake lini?anapenda kula chakula gani?marafiki zake ni kina nani?anapenda team gani ulaya?alizaliwa wapi?alisoma wapi ?kama hauna majibu haya ya maswali machache haumjui mayele unamfahamu TU ni mchezaji mzuri wa yanga.Akili yako ndogo hauwezi kuwelewa akili kubwa ndio maana matajiri hawajibu kama masikini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka hivi kwenu kuna mtu mwenye akili za kuingiza laki kwa siku?
Soma vizuri uzi mkuu ndiyo uhoji ninachokizungumza.Hata sis Ihefu jana tulifungwa lini mpaka sasa sijui ni nani aliye funga hayo magoli manne. Yupo sahihi. By the way kwani Yabga anayefunga n Mayele peke yake?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Narudia tajiri hawezi kujubu Kwa akili ya kimasikini kama yako ,masikini wanamakasiriko na mara zote wanaona matajiri hawana akili na wanakosea ,kiufupi tafuta Hela utajua kujibu kama matajiri.Ufupi wa akili yako unaweza kimasikini masikiniUmesikiliza interview au umekuja kutoa povu tu hapa we kenge maji popoma mkubwa.
Hapana mayele ni mume wako wewe.Mayele ni mke wa mo dewj hadi dewj aanze kumjua