Nimeshangazwa na Sms za mpenzi wangu ambae nilitegemea awe mke wangu. Inavyoonekana atakuwa anajihusisha na madawa ya kulevya

Requal

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2020
Posts
1,025
Reaction score
1,917
Mtu ambae niko nae kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 4, nikiwa na mipango ya kuoana nae. Leo nimejikuta nashindwa kumuelewa, Hapa chini ni baadhi ya text nilizochati nae kabla ya kumpigia simu kujiridhisha ni yeye kweli
Tukaendelea




Baada ya hizi text nikaona isiwe tabu nikampigia simu, the way alivokuwa anajibu maswali niliyokuwa namuuliza, naona kabisa huyu bubie yupo kwenye huu mtandao wa madawa, nimeamua kuachana nae.

Kitu kilichonishangaza anaongea kwa kujiamini sana, kwamba mama yake kakamatwa na mzigo mambo yote yashawekwa sawa anatoka, Ina maana serikali imekuwa laini kiasi hiki? Binafsi namuomba mungu kaamua kuyaweka haya mambo wazi mapema, Angeweza hata kuniletea shida wakati sijui lolote kuhusu haya mambo.
 

Attachments

  • inbound1366426432969984196.png
    32 KB · Views: 32
  • inbound7790857330061702849.png
    32 KB · Views: 26
Wewe shida yako ni pesa au ndoa?
 
Ila uhu ni upumbavu wewe mwanaume kama unanpenda kweli unashindwa kumtoa uko basi ulikuwa umpendi ulikuwa na tamaa zako mwanaume sifa yake kuu ni msimamo
Atamtoa aliyemuingiza huko, huo upumbavu Mimi sitaki. Familia imenisomesha ikiwa na malengo na mimi na bado inanitegemea huo ujinga atamalizana nao kama alivyoanza nao
 
Hela nilizo nazo zinanitosha mkuu, sihitaji madili haramu ili nipate pesa za misukosuko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…