Nimeshangazwa na Sms za mpenzi wangu ambae nilitegemea awe mke wangu. Inavyoonekana atakuwa anajihusisha na madawa ya kulevya

Nimeshangazwa na Sms za mpenzi wangu ambae nilitegemea awe mke wangu. Inavyoonekana atakuwa anajihusisha na madawa ya kulevya

Kumtangaza kama hivi ni hatari kwa usalama wako, labda kama na wewe una watu wa kukusemea, kwa sababu kama hiyo kesi anaona ni kitu kidogo tuu basi anaweza kufanya chochote kile akitegemea watu walio nyuma yake, lakini umefanya kilichokua sahihi👍👍👍👍
 
Asante sana mleta mada nimechukua hayo mawasialiano yako kwa ajili ya uchunguzi zaidi,kama kuna lolote tutaona
Asante

Kwa kifupi mleta mda anaonekana mwanaume chini ya miaka 30
Mwanamke inaonekana pia ni chini ya miaka 25,hajaolewa,hana kazi ya maana either ni mdangaji au anakaa kwa ndugu.
Jina la Angle ni kweli ni jina halisi la mwanamke
Mleta mada yupo sehemu ya mjini mana mtandao unasoma 4G tena Tigo.
Mleta mada ni kijana mwenye kipato kidogo mana anatumia simu ya infinix.
Hii conversation ni ya leo picha zinajieleza.
Polisi tunaanzia hapo.
 
Asante sana mleta mada nimechukua hayo mawasialiano yako kwa ajili ya uchunguzi zaidi,kama kuna lolote tuaonana.
Asante

Kwa kifupi mleta mda anaonekana mwanaume chini ya miaka 30
Mwanamke inaonekana pia ni chini ya miaka 25,hajaolewa,hana kazi ya maana either ni mdangaji au anakaa kwa ndugu.
Jina la Angle ni kweli ni jina halisi la mwanamke
Mleta mada yupo sehemu ya mjini mana mtandao unasoma 4G tena Tigo.
Mleta mada ni kijana mwenye kipato kidogo mana anatumia simu ya infinix.
Hii conversation ni ya leo picha zinajieleza.
Polisi tunaanzia hapo.
Acha utoto kijana haha
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]unasemaa
Nimejitolea kutoa msaada pasi na kuhitaji ujira wowote, ni kama vile NGO zinavyowasaidia watu na taifa kwa ujumla[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pamoja tunalijenga taifa letu.
 
Mtu ambae niko nae kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 4, nikiwa na mipango ya kuoana nae. Leo nimejikuta nashindwa kumuelewa, Hapa chini ni baadhi ya text nilizochati nae kabla ya kumpigia simu kujiridhisha ni yeye kweliView attachment 2676117
Tukaendelea
View attachment 2676118
View attachment 2676120
View attachment 2676120
View attachment 2676122
Baada ya hizi text nikaona isiwe tabu nikampigia simu, the way alivokuwa anajibu maswali niliyokuwa namuuliza, naona kabisa huyu bubie yupo kwenye huu mtandao wa madawa, nimeamua kuachana nae.

Kitu kilichonishangaza anaongea kwa kujiamini sana, kwamba mama yake kakamatwa na mzigo mambo yote yashawekwa sawa anatoka, Ina maana serikali imekuwa laini kiasi hiki? Binafsi namuomba mungu kaamua kuyaweka haya mambo wazi mapema, Angeweza hata kuniletea shida wakati sijui lolote kuhusu haya mambo.
Uoga wako ndo umaskini wako
 
Duh we ni mwanaume au boy!! Ok fanya kutoa Mwonekano wake mkuu nina connection na police wa hapa dodoma nataka nianze kazi yakumfatilia uyo binti kama ni mzuri namchukua
 
Back
Top Bottom