Mkuu wa wilaya ubungo imeishia wapiJana ika-pop up video ya live Tiktok mida ya jioni/usiku, zimejaa video za wadada kitandani wengine wakifanya biashara indirect huku wengine wakiwa tayari wamejiwekea price tag na zina viewers hatari. Tanzania watu wako mitandaoni, kila video inao watu... Nikakuta moja ya kidume kajiwekea live, ina viewers wawili tu!
Naona hii biashara imerahisishwa sana na teknolojia badala ya kwenda kwenye machimbo yao na kupambana na udhalilishaji wa Mkuu wa Wilaya... Lakini pia unaweza kukaa na mtoto kumbe akiwa zake ndani anaingia tiktok na kufanya biashara yake indirect wewe ukiwa sebuleni.
Wakitoka fungia twita waje huku?Jana ika-pop up video ya live Tiktok mida ya jioni/usiku, zimejaa video za wadada kitandani wengine wakifanya biashara indirect huku wengine wakiwa tayari wamejiwekea price tag na zina viewers hatari. Tanzania watu wako mitandaoni, kila video inao watu... Nikakuta moja ya kidume kajiwekea live, ina viewers wawili tu!
Naona hii biashara imerahisishwa sana na teknolojia badala ya kwenda kwenye machimbo yao na kupambana na udhalilishaji wa Mkuu wa Wilaya... Lakini pia unaweza kukaa na mtoto kumbe akiwa zake ndani anaingia tiktok na kufanya biashara yake indirect wewe ukiwa sebuleni.
100 people are here14 people are here
WAmepiga ban tiktok sababu ya wachina sio maadili, OF nayo wameiban?USA Walio mbali kupiga ban hii tik tok
Tiktok ndio mtaa gani huo tukathaminishe bidhaaaJana ika-pop up video ya live Tiktok mida ya jioni/usiku, zimejaa video za wadada kitandani wengine wakifanya biashara indirect huku wengine wakiwa tayari wamejiwekea price tag na zina viewers hatari. Tanzania watu wako mitandaoni, kila video inao watu... Nikakuta moja ya kidume kajiwekea live, ina viewers wawili tu!