Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Jana ika-pop up video ya live Tiktok mida ya jioni/usiku, zimejaa video za wadada kitandani wengine wakifanya biashara indirect huku wengine wakiwa tayari wamejiwekea price tag na zina viewers hatari. Tanzania watu wako mitandaoni, kila video inao watu... Nikakuta moja ya kidume kajiwekea live, ina viewers wawili tu!
Naona hii biashara imerahisishwa sana na teknolojia badala ya kwenda kwenye machimbo yao na kupambana na udhalilishaji wa Mkuu wa Wilaya... Lakini pia unaweza kukaa na mtoto kumbe akiwa zake ndani anaingia tiktok na kufanya biashara yake indirect wewe ukiwa sebuleni.