Nimeshangazwa na Ushuru wa serikali wa kulipia mabango ambayo yapo kwenye biashara yako, mfano juu ya paa la sehemu yako ya biashara!

Bongo biashara zinazo survive ni zile zenye uwezo wa kutoa support ya kifedha kwa mboga mboga political party
 
Hawa wapumbavu wameniletea bill ya 850,000/= @?>?@@>>?@@@@@@@ zao!
 
Kuna tatizo kubwa nchi hii kuliko nilivyodhani mwanzoni.
 
Halafu mtu anakuja na kauli kwamba tanzania walipa kodi ni milioni 2 tu.

Mapapa na manyangumi yalitetewa na bosi alipoingia madarakani tu kuwa yasisumbuliwe ktk kodi. Sie vidagaa wacha tukamuliwe utumbo.
Moja ya dalili ya serikali corrupt ni kuhangaika na vidagaa huku wakiwaacha mapapa yakitanua matamvua,
 
Ongezea na roho mbaya ya uhasidi
Hivi mtu kaandika nje nashona nguo halafu hajashona wiki
Wanadai hela ya bango kama sio uchawi ni nini?
Walivyo lewa na madaraka wanatamani hata hizi sehemu zetu waziweke mabango Yao ya mamasamia. Unajua kuna Ile mtu unanufaika na kitu mpaka unaona wengine wanapoteza mda ndio CCM Sasa inaona siasa uchwara kua ndio ajira
 
Yaani miaka yote tutakuwa masikini wa kifikra tu
Wao wanaona wanakomoa wananchi ila hawajui wanawakomoa mpaka mama zao
 
Mkuu, costs of advertising and marketing dunia nzima hutozwa levy.
 
Mkuu,

Tatizo la kodi Haliko Tanzania tu, Ndiyo maana unaona duniani kwa sasa moja ya kesho za kibiashara zinazotrend sana ni kwenye ukwepaji wa kodi uliofanywa huko nyuma.

Shida ni kuwa tunadhani kodi ni kubwa Tanzania tu.
 
Ukifungua biashara utaanza
Leseni utalipia
Kodi manispaa
With holding tax
TRA
Pango Kodi
Sijui vinini yan mtaji utaisha kabla ata ya biashara haijaanza
 
Mkuu,

Tatizo la kodi Haliko Tanzania tu, Ndiyo maana unaona duniani kwa sasa moja ya kesho za kibiashara zinazotrend sana ni kwenye ukwepaji wa kodi uliofanywa huko nyuma.

Shida ni kuwa tunadhani kodi ni kubwa Tanzania tu.
Wewe unaiona ni ndogo?
 
Wewe unaiona ni ndogo?
Ndogo au kubwa, concept ni kuwa Ukiwa Mfanyabiashara siku zote kodi Utaiona ni burden. It happens Tanzania, it happens everywhere. Ndiyo maana nimekuonesha kuwa kuna cases za tax planning za kutisha kwenye ulimwengu wa mwanza. Watu wanakuwa kubuni namna gani watakwepa kodi ama Wakilipa walipe kidogo kwa kutumia njia halali za kihasibu n.k
 
Kwangu wanataka mpaka stiker za mlangoni nilipie. Wamenipa invoice ya 600,000Tsh. Kilichopo Siwalipi nione watafanyaje.
 
Tuacheni wasomi tuendeshe hii nchii tunamaana yetu kufanya hivyoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…