Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Kuna watu ukifata wanacho andika humu unaweza hisi atakuwa mwenzako motoni, kumbe wapo humu kwaajili ya kuchangamsha kijiwe tu🤗
Mmoja wapo ni huyu Mzee LIKUD
Kwa kifupi ukiona LIKUD anasema muda huu ni Giza, hebu toka nje uhakiki kama ni Giza kweli, hachelewi kusema Giza kumbe ana maanisha mwanga 🙌
Mmoja wapo ni huyu Mzee LIKUD
Kwa kifupi ukiona LIKUD anasema muda huu ni Giza, hebu toka nje uhakiki kama ni Giza kweli, hachelewi kusema Giza kumbe ana maanisha mwanga 🙌