Thread Ya Wazee Wa Siku, Kiwi, Kuingia Bure Kutoka Na Pesa, Intelligence Imeonyesha Kutakuwa Na Uvunjifu Wa AmaniNa sisi hatujaelewa maada yako ni mada
Maada mada maalumu
Au mad
Muongozo ni kuwa kama yeye au ndugu yake amerukwa cheo, basi asikate tamaa, asubiri zamu yake itakuja!
Tatizo katiba ya 77.Unashangaa nini mbona kawaida sana.....hii ndio tanzania tupo kivyetuvyetu........
Kuna mkurugenzi wa TANAPA alihamishwa kuwa mkuu wa wilaya
Huyu CAG wa sasa alikuwa kamishina wa TRA akaenda kuwa katibu tawala huko
Generali wa magereza ametoka JWTZ .....anaitwa kamishna Jenerelali cheo juu ya cheo
Chongolo katoka kuwa katibu wa CCM taifa sahivi yuko sawa na makonda wote wakuu wa mikoa......
Mkuu wa majeshi wa sasahivi karuka kutoka meja jenerali mpaka CDF.
Tatizo Linasababisha Ujanja MwingiTatizo katiba ya 77.
Kila kitu uteuzi kupitia kwa mtu mmoja.
Nafasi hizo watu wasailiwe, sio kupandisha wajomba na masangazi.
Vyeo Vya Mserereko Mpaka Ama Chap Chap Cheotofauti inatokana na aina ya vyeo;
1. vyeo vya muundo mfano sp, asp, dcp, cp n.k.
2. vyeo vya mamlaka(mserereko) mfano ocd, rco, rto, rpc, mpaka huko kwa inspekta jenero.