Nimeshangazwa na vyeo hivi vya polisi

Nimeshangazwa na vyeo hivi vya polisi

Na sisi hatujaelewa maada yako ni mada
Maada mada maalumu
Au mad
Thread Ya Wazee Wa Siku, Kiwi, Kuingia Bure Kutoka Na Pesa, Intelligence Imeonyesha Kutakuwa Na Uvunjifu Wa Amani
Mzee Wa Mauno Alipokuwa Waziri Aliwapa Jambajamba (Kangi Lugola)
 
Unashangaa nini mbona kawaida sana.....hii ndio tanzania tupo kivyetuvyetu........

Kuna mkurugenzi wa TANAPA alihamishwa kuwa mkuu wa wilaya

Huyu CAG wa sasa alikuwa kamishina wa TRA akaenda kuwa katibu tawala huko

Generali wa magereza ametoka JWTZ .....anaitwa kamishna Jenerelali cheo juu ya cheo

Chongolo katoka kuwa katibu wa CCM taifa sahivi yuko sawa na makonda wote wakuu wa mikoa......

Mkuu wa majeshi wa sasahivi karuka kutoka meja jenerali mpaka CDF.
Tatizo katiba ya 77.
Kila kitu uteuzi kupitia kwa mtu mmoja.
Nafasi hizo watu wasailiwe, sio kupandisha wajomba na mashangazi vyeo. Na kujua
 
Samia kamwaga mivyeo hovyo hovyo huko police,imejikuta kuna active dcp wengi sana makao makuu na hawana kazi hata zaidi ya kusoma magazeti,kusinzia na kupiga umbea..so bora watupwe mikoani huko wasubiri kustaafu tu.
 
CP Kamishna wa Polisi
DCP Naibu Kamishna wa Polisi
SACP Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi
ACP-kamishna Msaidizi wa Polisi
SSP mrakibu mwandamizi wa polisi
SP Mrakibu wa Polisi
ASP Mrakibu msaidizi wa polisi 🌟 🌟 🌟
 
tofauti inatokana na aina ya vyeo;
1. vyeo vya muundo mfano sp, asp, dcp, cp n.k.

2. vyeo vya mamlaka(mserereko) mfano ocd, rco, rto, rpc, mpaka huko kwa inspekta jenero.
 
tofauti inatokana na aina ya vyeo;
1. vyeo vya muundo mfano sp, asp, dcp, cp n.k.

2. vyeo vya mamlaka(mserereko) mfano ocd, rco, rto, rpc, mpaka huko kwa inspekta jenero.
Vyeo Vya Mserereko Mpaka Ama Chap Chap Cheo
 
Back
Top Bottom