Nimeshatongoza nafanyaje sasa

Nimeshatongoza nafanyaje sasa

Habari wakuu...

Nilipata namba yake nilichart nae dakika kadhaa na nikamueleza ukweli NAMPENDA haya mtoto kanielewa???

Nini kinafuata baada ya hapo wakuu???

Ushauri wenu nahitaji nile huyu mtoto...
Mtumie pesa kwanza
 
Weka namba zake hapa nimuulize kama kweli kakukubalia mkuu, inaonekana kama bado huyo!
 
Back
Top Bottom