Mtumie pesa kwanzaHabari wakuu...
Nilipata namba yake nilichart nae dakika kadhaa na nikamueleza ukweli NAMPENDA haya mtoto kanielewa???
Nini kinafuata baada ya hapo wakuu???
Ushauri wenu nahitaji nile huyu mtoto...
Baada ya hapo ntumie namba ya mttHabari wakuu...
Nilipata namba yake nilichart nae dakika kadhaa na nikamueleza ukweli NAMPENDA haya mtoto kanielewa???
Nini kinafuata baada ya hapo wakuu???
Ushauri wenu nahitaji nile huyu mtoto...
Kama kawaida..MPE PESA
Wa maranguKama kawaida..
Wewe mchaga wa Machame eeh?