Mhmmm mshkaji akija letewa ukimwi je?Nadhani utakua na umri mdogi bado. Ila ukikua hutasema tena “umeshikilia hatma ya ndoa ya mtu” maana hata mkeo atakua na meusi meusi usiyojua ila wana wanajua. Mambo yasiyotuhusu huwa tunakufa nayo moyoni mdogo wangu
Mwanangu wa darasa la pili anasimulia vizuri kuliko huyu.Unasimulia kama mtoto wa form 1
Hata hivyo mambo ya watu waachie wenyewe...
Kama una umri mzuri wa kufikiri basi utakubaliana na mm kuwa huwa wanaume huwa hatuzungumzi mambo ya watu hasa kama hatujaulizwa.Mhmmm mshkaji akija letewa ukimwi je?
Kwa hiyo unaweza ona jambo la hatari likiwa mbioni kumpata mshkaji wako kisa tu hajakuuliza, ukapiga kimya? Kisa una umri mzuri wa kufikiri?Kama una umri mzuri wa kufikiri basi utakubaliana na mm kuwa huwa wanaume huwa hatuzungumzi mambo ya watu hasa kama hatujaulizwa.
Nafikiri anachomaanisha ni kwamba "usiingilie mambo ya nyumba ya mtu"Kwa hiyo unaweza ona jambo la hatari likiwa mbioni kumpata mshkaji wako kisa tu hajakuuliza, ukapiga kimya? Kisa una umri mzuri wa kufikiri?
Mi hata sijaelewaUnasimulia kama mtoto wa form 1
Hata hivyo mambo ya watu waachie wenyewe...
DuhMwandishi utakuwa ni mfupi kwa kimo,ubongo upo karibu na mavi
Mbali na uandishi mbovu, kisa kimoja ndiyo unajumuisha ndoa zote??Ndoa zinatisha
Mbona inaeleweka tuKwa kweli.
Nimeelewa kabisa , mimi nilitaka nifahamu pia kuhusu hasara za kuvunga na pia msela wake akija kujua kumbe jamaa yake alikua anajua itakuaje ?Nafikiri anachomaanisha ni kwamba "usiingilie mambo ya nyumba ya mtu"
Huwa tunadanganya hatufanya siku nyingiMbona inaeleweka tu
huyo demu hajasex mda mrefu na mumewe so alikuwa na upwiru!
Hao ndio Wanawake..Jamaa ameniambiya vingi, Ila aliongea viwili vikubwa ambayo ni
1. Najua kumchoropoka kuja kwako, na hata akituona hawezi Fanya kitu nammudu.
2. Sijasex mda mrefu sana(first time wanasex)
Ndoa zinatisha.
KumbeHuwa tunadanganya hatufanya siku nyingi
Ila ujione uko peke yako
NdioKumbe
Mna mambo ya ajabu nyie!