Nimeshikilia Hatma ya ndoa ya Rafiki yangu

Nimeishia hapo uliposema mama ntilie, kazi nyingine zina vishawishi sana
 
Pita kushoto, jifanye hujaona la sivyo utaishia kuwa adui wa wahusika wote watatu
 
Uyo jamaa ako mwenye WiFi ako na library za movies mwambie nke wa ntu thumu.


Ogopa wanawake
 
Bora ukae kimya. Mimi nilishajua kuna mhuni tena jobless anatafuna manzi wa jamaa yangu na mbaya zaidi yule dogo alikuwa anachukua picha wakiwa chumbani... na baadhi ya picha zilinifikia. Kumweleza jamaa yangu akasema atachunguza.. baadae kaja kutulaumu kuwa tunataka kumvunjia uhusiano kwa kumsingizia manzi wake uongo na hata picha ni za kutengeneza.. ikumbukwe hapo ni 2014 hata AI bado. Nilimjibu SAMAHANI na hata harusi yake sikuhudhuria.
 
Siku nyingine baada ya kuiandika karibu kupitia pitia story Yako japo mara tatu, kama wadau watielewa, kiupande wangu nimeielewa japo kwa taabu sana..

Cha kukushauri we mute tu kama hujui chochote.. maana baadae yatakuja kukugeukia, jamaa Yako alikua unamjua, atakulaumu sana, na shemeji akija kujua pia atakuona wewe ni snitch mbeya mbeya
 
Ndyo maana mim nmemwambia mshengq wangu tuachane na posa niliyoitoa Kwa yule Binti cheupe maana bado natamani kuwa single
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…