kibunange
Senior Member
- Feb 18, 2015
- 165
- 148
Waungwana leo nimetoka jela baada ya kukaa wiki 2..ni kile kisa cha kademu nilikogombana nako na kuamua kubandika namba yangu ya simu mtaani MGANGA KUTOKA NIGERIA'..raia kitaa walinisomea ramani na kudai mm ni tapeli na kunifungulia kesi..nashukuru mungu kanisimamia na nimeweza kuimaliza kesi...