Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kamba mkuu nipo kwenye wakati mgumu sana...maisha yapo hatarini nawaza kurudi kijijini
ndio maana kina Mkono na wengine wakianza kutetea au kupinga mambo Bungeni ni lazima tujiulize mara mbili.
Mkuu hili ni jukwaa la chitchatMkuu naona Unakaza hadi Uongo nao pia Unaendelea kukaza hicho kichekesho nilikipata zaidi ya Miaezi miwili iliyopita kipo ndani ya Simu yangu ati wewe Unazidi Kukaza kama kwamba ni Kweli..Tutajie kesi namba tufuatilie Polisi Lofa wewe You can lie to others but you can't lie to yourself..
Nakupa Wiki uthibitishe...
Mods Mpeni ban huyu
Mkuu hili ni jukwaa la chitchat
We nawe hiyo picha au ndio uzuri wako unanichanganya
Ndio mimi huyo
Mmh Hata Siamini hadi Nikuone live... Maana Nimeshakumezea Mate
Hahahaaaa haya bhana