Nimeshinda Kesi

Nimeshinda Kesi

Na baada ya kutoka kanichimba mkwara...dah bifu gani hili lisilosamehewa jamani!?
 
Acha Kamba wewe.... punguza dhambi ya uongo
 
Sio kamba mkuu nipo kwenye wakati mgumu sana...maisha yapo hatarini nawaza kurudi kijijini

Mkuu naona Unakaza hadi Uongo nao pia Unaendelea kukaza hicho kichekesho nilikipata zaidi ya Miaezi miwili iliyopita kipo ndani ya Simu yangu ati wewe Unazidi Kukaza kama kwamba ni Kweli..Tutajie kesi namba tufuatilie Polisi Lofa wewe You can lie to others but you can't lie to yourself..

Nakupa Wiki uthibitishe...
Mods Mpeni ban huyu
 
ndio maana kina Mkono na wengine wakianza kutetea au kupinga mambo Bungeni ni lazima tujiulize mara mbili.

Mkuu naona Unakaza hadi Uongo nao pia Unaendelea kukaza hicho kichekesho nilikipata zaidi ya Miaezi miwili iliyopita kipo ndani ya Simu yangu ati wewe Unazidi Kukaza kama kwamba ni Kweli..Tutajie kesi namba tufuatilie Polisi Lofa wewe You can lie to others but you can't lie to yourself..

Nakupa Wiki uthibitishe...
Mods Mpeni ban huyu
Mkuu hili ni jukwaa la chitchat
 
Back
Top Bottom