Nimeshinda Kesi

kibunange

Senior Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
165
Reaction score
148
Waungwana leo nimetoka jela baada ya kukaa wiki 2..ni kile kisa cha kademu nilikogombana nako na kuamua kubandika namba yangu ya simu mtaani MGANGA KUTOKA NIGERIA'..raia kitaa walinisomea ramani na kudai mm ni tapeli na kunifungulia kesi..nashukuru mungu kanisimamia na nimeweza kuimaliza kesi...
 
Angali bhana siku nyingine usitupe chai ya moto kwenye kombe la Bati bwana.
Ndorooooooobo!! We
 
Mbona sikuelewi, kuna post niliona unataka mwanaume wa kukuoa, leo tena wewe ni mwanaume, mbona sikuelewi?

Je ulipata wa kukuoa au imekuaje?
 
Asanteni wana JF nimemsamehe na namuachi mungu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…