Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Nakumbuka mid 90 siku ya kuamkia mwaka mpya bro'ngu m1 hivi nae aliingia cha kike baada ya kuopoa manzi mwenye kifafa.
Ilikuwa hivi. Tulikuwa bills enzi hizo tunagonga vyombo ingawa mimi sikuwa nagonga sababu ya umri wangu still nikuwa mdogo. Bro alikuwa na company yake tukiwa na Peugeot 405 ya mshua wa jamaa m1 hivi ambaye tulikuwa naye yeye ndio alikuwa akidrive.
Baada ya kusubiri mwaka ukafika. Tukasikia mihoni ya meli pale feri na mihoni ya train kule ralway.
Baada ya kupita kama saa moja hivi tukaingia kwenye ndinga safari kurudi home. Bro akachukua mlupo pamoja ya yule jamaa yetu tuliyekuwa naye naye akachukuwa na mlupo.
Kufika home mitaa ya stereo kinondoni bro akabaki nje na ule mlupo, mimi nikaingia ndani kusoma mazingira washua wamekaaje. Nikaona mazingira yanaruhusu. Nikamtonya bro akazama na mlupo wake.
Siku hiyo nikahama chumba kwenda kulala na madogo zangu wawili. Baada ya muda bro akaja kunigongea jasho lina mtoka. Kumuuliza vp akaniambia ule mlupo unakifafa na yupo hoi kitandani.
Tukaenda. Tukamkuta anakoroma kama anavuta pumzi ya mwisho. Akaniambia tufanyaje. Tukiwa tunashangaa shangaa tukamwana anaanza kujigeza na kurudia hali ya kawaida. Kumbe bro aliambuli kupiga shoot 1 tu. Asubuhi kabisa tukamtoa akaondoka.
Ilikuwa mbichi. Sitasahau hii kitu aisee