Nimeshinda kituo cha polisi leo baada ya huyu mkaka (Bonge) Kuzimia wakati tunafanya tendo la ndoa

Nimeshinda kituo cha polisi leo baada ya huyu mkaka (Bonge) Kuzimia wakati tunafanya tendo la ndoa

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Noma sana
Hatar mm mzaramo upo hapo usije pokea kichambo cha haja

Ukanipeleka mirembe bure [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Umeonaaa kama mambo yenyewe ndo haya basi tabuuuu
 
Demiss ni mwanaume tena mzaramo

Watongozaji wa mitandaoni kuweni makini[emoji3] [emoji3]

#I am OUT
Hivi kuna watu bado wanatongoza vitu visivyojulikana

Kweli hii mupyaaaaa
 
Hatar mm mzaramo upo hapo usije pokea kichambo cha haja

Ukanipeleka mirembe bure [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Umeonaaa kama mambo yenyewe ndo haya basi tabuuuu
Vichambo ndio chakula yangu ukichamba huku nakula mzigo kwangu ni Raha mustarehe,
Cha kuzingatia tu usininyime papuchi.
.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Vichambo ndio chakula yangu ukichamba huku nakula mzigo kwangu ni Raha mustarehe,
Cha kuzingatia tu usininyime papuchi.
.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Bora wewe umeongea

Nimeanza lini mm kuwa na dushee

Jaman

Ningekuwa nalo ningewakula wengi sana mpaka niumwe viungo vyoteee

Ama.kweli mzaramo demiss kawa mcharo
 
Nasikia PM kwako kumejaa mkuu, wangejua una manyoya chini na kidevuni wangerudi fesubuku huko
Mkuu una uhakika gani nina ndevu

Mwenzio nina kitumbua na manyonyooo

Ninavaa gauni na sket

Na aliyesema pm wamejaaa nan nataka nione ushahidi
 
28ec3f2b3dd7712e629d9d4daa30ee3c.jpg



Mkuu una uhakika gani nina ndevu

Mwenzio nina kitumbua na manyonyooo

Ninavaa gauni na sket

Na aliyesema pm wamejaaa nan nataka nione ushahidi
 
Bora wewe umeongea

Nimeanza lini mm kuwa na dushee

Jaman

Ningekuwa nalo ningewakula wengi sana mpaka niumwe viungo vyoteee

Ama.kweli mzaramo demiss kawa mcharo
My mubushara mpenz jiandae nikupitie twende kuleeeeeee mpaka mornie
 
Kwanini umefanya dhambi mwezi wa ramadhani.?....no! ...no!.....no!..... Kwaresma?
 
My mubushara mpenz jiandae nikupitie twende kuleeeeeee mpaka mornie
Leo weekend bhn niambie nije mpaka mitaaa ya rain bow

Alafu baadae tukatafute lodge mitaaa ya hazina nyuma ya central tukakulane

Wallet inasoma lakin[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Habari Wanajamvi?

Naandika huu uzi nikiwa sina rahaa kabisa kwa tukio lililotokea leo asubuhi saa 4 asubuhi.

Story inaanza hivi baada ya kumpiga kibut handsome aliyenigegeda mpaka nikaomba pooh nikaamua kuwa single .

Nikakaa nikawaza kwamba nipate mwanaume Bonge ndo atanifaa maana nasikia huwa hawapigi show la kibabe ni wavivu so nitaenjoy mapenzi ya ustarabu kwa sababu ya unene hawana pumzi.

Nikamkumbuka kuna Bonge mmoja Chotara alikuwa ananifukuzia kitambooo sana ila nilikuwa namzingua maana nilihisi atakuwa ananichosha tu hana pumzi maana ni mnene balaa ana kitambi alafu ni mtoto wa mama mpaka saivi bado anaishi kwao full kudeka.

Basi nakumbuka ile tarehe 17 alinitumia sms ya usiku mwema nikachat naye tukachombezana wee huku akisisitiza kuwa ananipenda anahitaji anioe ili tukaishi wote nyumban kwao niwe namsaidia mam ake kazi maana wamezaliwa vidume watupu.

Leo akaniomba niende kwao nikamsaidie kupika maana mama yake amesafiri kwenda Dubai kufata mzigo wa Dukani kwaoo.

Mtoto wa kike nikadanganya kazini naumwa mafua naenda hospital nitachelewa kurudi basi natoka nje nakuta chotara kanisubir getini tukapanda gari hadi kwao kufika ndan full mahaba (Tumepika tumekula tukahamia room)

Basi bhn tukiwa kitandani tukaanza kupiga show si unajua Bonge tena ikabidi nimtangulize chini mtoto wa kike nikakaa juuu nikaanza kuzungusha kiuno taratibu kama feni za panga boy.

Baada kama ya dkk 10 nashangaa bonge anaanza kuunguruma kama injini za maroli ya mizigo ya dangote[emoji16][emoji16][emoji16]
Nikasema makubwa ndo anafika kileleni au mbona hii mpyaaa sjawahi kutana nayo.

Ghafla bonge akazimia bwana weeeee
Mtoto wa kike nikachanganyikiwa nikashuka chini nikavaaa nguo haraka nikaaanza kumtikisa wapi nikachukua maji nikammwagia wapi huku natetemeka(nikasema kitumbua hiki kinataka kumtoa roho mboge mbona naenda kufia jela yan natoka jasho balaa)

Nikamfunika na shuka nikaenda kumuita mlinzi akaja akamshika akasema mbn bado wa moto labda kazimia tumvalishe nguo tumkimbize hospitalini.

Ikabidi tumshushe chini tukaanza kumvuta maana ni mzito jaman leo nimekomajeee !!!
Tukampeleka hospital jina kapuni wakamchukua kwenda kumuangalia

Dr akasema tuende polis kuripot tumeenda nakwambia tumeripot mm na mlinzi tukaswekwaa ndani.

Baada kama ya masaa 5 nashangaa natolewa nje nikamkuta rafiki yangu amekuja yupo na Bonge ameshazinduka wamefika kumbe rafiki yangu alipiga simu baada ya kuona nachelewa kurud kazin maana yeye alikuwa anajua mchongo mzima na askar aliyepokea sm alimpa stor yote.

Basi bonge alivyoniona akaanza kulia na kuniomba msamaha akaanza kusema Demiss utamu ulizid mama mpaka pressure ikapanda nikazimaa ghafla.

Mm hapo nimenuna balaa nikamwambia shuka panda gari yako na mlinzi wenu huyo hapo akupeleke sikutaki tenaa usije siku moja ukafa kifuani mwanguuuu.
Nadhani Shigongo anahitaji Watu kama wewe.
 
Leo weekend bhn niambie nije mpaka mitaaa ya rain bow

Alafu baadae tukatafute lodge mitaaa ya hazina nyuma ya central tukakulane

Wallet inasoma lakin[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Walet ina madola dola tupu mwendo wa wine na nyama chomq mpaka majogoo chi baby changu mimi.
 
Back
Top Bottom