Nimeshinda kituo cha polisi leo baada ya huyu mkaka (Bonge) Kuzimia wakati tunafanya tendo la ndoa

hahahah sasa hapo zaidi ya kushinda...mwanamke kashinda...ila zaidi huyo aliyezimia naye shida....ushindi huisha kwa shangwe sasa kuzimia kunaishia kwa balaa tu....hakuna mshindi ila kuna looser
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]naona unapita page to page unakunywaa chai hii inaitwa mechi ya Arsenal na Bachelon
 
hahah siku mbili sijaingia humu.....sa unajua humu ni kama kazi tu......kupita muhimu sana yani......af sina usingizi nlirudi from job nkalala nkaamka saa tatu....
 
Aiseee polee sana naona hapo kwenye mwanaume kuzimia pamekuacha hoiii

Sana unajiuliza imekuwajeeee
kabisa najiuliza mtu anazimiaje tu kirahisi wakati ye ndo anampa mtu utamu...bora ke ndo ingezimia
 
Habari Wanajamvi?

Naandika huu uzi nikiwa sina rahaa kabisa kwa tukio lililotokea leo asubuhi saa 4 asubuhi.

Story inaanza hivi baada ya kumpiga kibut handsome aliyenigegeda mpaka nikaomba pooh nikaamua kuwa single .

Nikakaa nikawaza kwamba nipate mwanaume Bonge ndo atanifaa maana nasikia huwa hawapigi show la kibabe ni wavivu so nitaenjoy mapenzi ya ustarabu kwa sababu ya unene hawana pumzi.

Nikamkumbuka kuna Bonge mmoja Chotara alikuwa ananifukuzia kitambooo sana ila nilikuwa namzingua maana nilihisi atakuwa ananichosha tu hana pumzi maana ni mnene balaa ana kitambi alafu ni mtoto wa mama mpaka saivi bado anaishi kwao full kudeka.

Basi nakumbuka ile tarehe 17 alinitumia sms ya usiku mwema nikachat naye tukachombezana wee huku akisisitiza kuwa ananipenda anahitaji anioe ili tukaishi wote nyumban kwao niwe namsaidia mam ake kazi maana wamezaliwa vidume watupu.

Leo akaniomba niende kwao nikamsaidie kupika maana mama yake amesafiri kwenda Dubai kufata mzigo wa Dukani kwaoo.

Mtoto wa kike nikadanganya kazini naumwa mafua naenda hospital nitachelewa kurudi basi natoka nje nakuta chotara kanisubir getini tukapanda gari hadi kwao kufika ndan full mahaba (Tumepika tumekula tukahamia room)

Basi bhn tukiwa kitandani tukaanza kupiga show si unajua Bonge tena ikabidi nimtangulize chini mtoto wa kike nikakaa juuu nikaanza kuzungusha kiuno taratibu kama feni za panga boy.

Baada kama ya dkk 10 nashangaa bonge anaanza kuunguruma kama injini za maroli ya mizigo ya dangote[emoji16][emoji16][emoji16]
Nikasema makubwa ndo anafika kileleni au mbona hii mpyaaa sjawahi kutana nayo.

Ghafla bonge akazimia bwana weeeee
Mtoto wa kike nikachanganyikiwa nikashuka chini nikavaaa nguo haraka nikaaanza kumtikisa wapi nikachukua maji nikammwagia wapi huku natetemeka(nikasema kitumbua hiki kinataka kumtoa roho mboge mbona naenda kufia jela yan natoka jasho balaa)

Nikamfunika na shuka nikaenda kumuita mlinzi akaja akamshika akasema mbn bado wa moto labda kazimia tumvalishe nguo tumkimbize hospitalini.

Ikabidi tumshushe chini tukaanza kumvuta maana ni mzito jaman leo nimekomajeee !!!
Tukampeleka hospital jina kapuni wakamchukua kwenda kumuangalia

Dr akasema tuende polis kuripot tumeenda nakwambia tumeripot mm na mlinzi tukaswekwaa ndani.

Baada kama ya masaa 5 nashangaa natolewa nje nikamkuta rafiki yangu amekuja yupo na Bonge ameshazinduka wamefika kumbe rafiki yangu alipiga simu baada ya kuona nachelewa kurud kazin maana yeye alikuwa anajua mchongo mzima na askar aliyepokea sm alimpa stor yote.

Basi bonge alivyoniona akaanza kulia na kuniomba msamaha akaanza kusema Demiss utamu ulizid mama mpaka pressure ikapanda nikazimaa ghafla.

Mm hapo nimenuna balaa nikamwambia shuka panda gari yako na mlinzi wenu huyo hapo akupeleke sikutaki tenaa usije siku moja ukafa kifuani mwanguuuu.
leo nmecheka sanaaa aseee....khaaaaa😀😀😀😀😀
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu....matangazo mengine ya promo hata hujui kusuka/kudanganya...................anyway wale wanaotaka kiuno cha pangaboi watukuPM. Usisahau kuleta story part TWO........Wewe ni yule dada anaitwa Kiri................mnafananana kwa matangazo na kujishaua
 
Aisee... Nilikua bored na mahasira juu ila hii thread imenichangamsha mnooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bonge kakutana na utamu wa maunooo.... Chezea papuchi wewe? Inapindua nchiiii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimefurahi kusikia hivyo jaman haya mambo acha tu
 
Habari Wanajamvi?

Naandika huu uzi nikiwa sina rahaa kabisa kwa tukio lililotokea leo asubuhi saa 4 asubuhi.

Story inaanza hivi baada ya kumpiga kibut handsome aliyenigegeda mpaka nikaomba pooh nikaamua kuwa single .

Nikakaa nikawaza kwamba nipate mwanaume Bonge ndo atanifaa maana nasikia huwa hawapigi show la kibabe ni wavivu so nitaenjoy mapenzi ya ustarabu kwa sababu ya unene hawana pumzi.

Nikamkumbuka kuna Bonge mmoja Chotara alikuwa ananifukuzia kitambooo sana ila nilikuwa namzingua maana nilihisi atakuwa ananichosha tu hana pumzi maana ni mnene balaa ana kitambi alafu ni mtoto wa mama mpaka saivi bado anaishi kwao full kudeka.

Basi nakumbuka ile tarehe 17 alinitumia sms ya usiku mwema nikachat naye tukachombezana wee huku akisisitiza kuwa ananipenda anahitaji anioe ili tukaishi wote nyumban kwao niwe namsaidia mam ake kazi maana wamezaliwa vidume watupu.

Leo akaniomba niende kwao nikamsaidie kupika maana mama yake amesafiri kwenda Dubai kufata mzigo wa Dukani kwaoo.

Mtoto wa kike nikadanganya kazini naumwa mafua naenda hospital nitachelewa kurudi basi natoka nje nakuta chotara kanisubir getini tukapanda gari hadi kwao kufika ndan full mahaba (Tumepika tumekula tukahamia room)

Basi bhn tukiwa kitandani tukaanza kupiga show si unajua Bonge tena ikabidi nimtangulize chini mtoto wa kike nikakaa juuu nikaanza kuzungusha kiuno taratibu kama feni za panga boy.

Baada kama ya dkk 10 nashangaa bonge anaanza kuunguruma kama injini za maroli ya mizigo ya dangote[emoji16][emoji16][emoji16]
Nikasema makubwa ndo anafika kileleni au mbona hii mpyaaa sjawahi kutana nayo.

Ghafla bonge akazimia bwana weeeee
Mtoto wa kike nikachanganyikiwa nikashuka chini nikavaaa nguo haraka nikaaanza kumtikisa wapi nikachukua maji nikammwagia wapi huku natetemeka(nikasema kitumbua hiki kinataka kumtoa roho mboge mbona naenda kufia jela yan natoka jasho balaa)

Nikamfunika na shuka nikaenda kumuita mlinzi akaja akamshika akasema mbn bado wa moto labda kazimia tumvalishe nguo tumkimbize hospitalini.

Ikabidi tumshushe chini tukaanza kumvuta maana ni mzito jaman leo nimekomajeee !!!
Tukampeleka hospital jina kapuni wakamchukua kwenda kumuangalia

Dr akasema tuende polis kuripot tumeenda nakwambia tumeripot mm na mlinzi tukaswekwaa ndani.

Baada kama ya masaa 5 nashangaa natolewa nje nikamkuta rafiki yangu amekuja yupo na Bonge ameshazinduka wamefika kumbe rafiki yangu alipiga simu baada ya kuona nachelewa kurud kazin maana yeye alikuwa anajua mchongo mzima na askar aliyepokea sm alimpa stor yote.

Basi bonge alivyoniona akaanza kulia na kuniomba msamaha akaanza kusema Demiss utamu ulizid mama mpaka pressure ikapanda nikazimaa ghafla.

Mm hapo nimenuna balaa nikamwambia shuka panda gari yako na mlinzi wenu huyo hapo akupeleke sikutaki tenaa usije siku moja ukafa kifuani mwanguuuu.
the moral of the story is?!
 
[emoji125][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji120]
 
Back
Top Bottom