Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 866
- Thread starter
-
- #21
Hongera ndugu.....sasa inabidi usijifiche,umekuwa mtu-umma(public figure)...wenzio Mnyika,Zitto,Dr Slaa wanatumia true IDs...kwa hiyo come out na useme jimbo TUSAIDIANE kulichukua
Wakuu.Jana tulikuwa na mchakato wa kura za maoni jimboni kwetu.Tulikuwa wagombea wawili katika chama chetu.Nimefanikiwa kushinda kura za maoni kwa kishindo na kumuangausha mpinzani wangu,hivyo kuipeperusha bendera ya CHADEMA katika jimbo hili.Nimeandika historia kwa kuwa kijana wa kwanza kugombea kwenye jimbo hili tangu kurudi kwa mfumo wa vyama vingi kwa vyama vyote vilivyowahi kusimamisha wagombea ubunge kwenye jimbo hili. Ni mtaji kwangu..
Tuko pamoja...Hakuna kulala mpaka kieleweke.
Tafadhali naomba msiniulize nagombea jimbo gani.Ni jimbo moja la Mkoani,Wilaya yenye jimbo moja..Zaidi ya hapo usiniulize.
Alunta continua
ongela! halaf hakikisha yule invisible mysterious lover wako wa JF haathiri kampeni zako na utawala wako kama utachaguliwa. nitakutumia kiapo cha kuhakikisha utailinda katiba kupitia PM.
kama kujulikana ni mpaka ukamatwe na takukuru, then CCM ni vinara wa ku-strategize, if that is what you people call strategies!Natumaini kampeni zenu zilikuwa za kimyakimya na hata hujazunguka ukajua ukubwa wa jimbo lako na wapiga kura wako wakakufahamu. CCM are very clever, kampeni zao wanazunguka jimbo zima hivyo kabla hata kampeni hazijaanza mgombea wao anafahamika jimboni na anafahamu kila uchochoro wa jimbo lake. Wewe wakati utakuwa unatumia muda mwingi ili watu wakufahamu, wenzio watakuwa kwenye hatua ya kueleza sera na kuomba kura. You need to work very hard to win
Natumaini kampeni zenu zilikuwa za kimyakimya na hata hujazunguka ukajua ukubwa wa jimbo lako na wapiga kura wako wakakufahamu. CCM are very clever, kampeni zao wanazunguka jimbo zima hivyo kabla hata kampeni hazijaanza mgombea wao anafahamika jimboni na anafahamu kila uchochoro wa jimbo lake. Wewe wakati utakuwa unatumia muda mwingi ili watu wakufahamu, wenzio watakuwa kwenye hatua ya kueleza sera na kuomba kura. You need to work very hard to win
Hip hip hurrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaay
All da best Dada!
Gender Sensitive,
Hongera sana na tunakutakia kila la kheri mpiganaji wetu. Lakini usije sijahau kwani kuchaguliwa kwenda vitani sio vita yenyewe. Huko uendako ndiko kwenye uzito zaidi..
Mkuu hata mimi nilijiuliza hilo lakini nimefikiria kwa undani na hakika hana sababu ya kujitambulisha hapa kwani kura hazipigwi JF. Pili kama hukujiandikisha jimbo lake huwezi kumsaidia kwa kura ila kama anahitaji msaada ataandikia watu barua pepe.Sasa campaign unafanya kwa kificho ? Hata kama watu wanataka kukupigia kura au kampeni watawezaje mtu mwenyewe hutaki kujitambulisha?
Hivi unaelewa sacrifices za uongozi wewe kweli ? Unaelewa essence ya campaign ? Unaelewa majukumu ?
Au tunataniana tu ?