Elections 2010 Nimeshinda Kura za maoni Kuipepersuha Bendera ya CHADEMA

Elections 2010 Nimeshinda Kura za maoni Kuipepersuha Bendera ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.

Looking good is added advantage you should know better than that.Next why you choose to go by the last the point ,why dont you go by the one I put first : "makini na asiye yumbishwa".
To me she look good , her hair is well done she look nice and sexy .Ndugu Kiranga dont tell me when I said SEXY you thought about SEX,poor Kiranga.Mtu akipendeza unamwambia kapendeza ndivyo mimi nafanya ,ndivyo namwambia dada yangu ,mke wangu.
Yes narudia tena umakini wake and the way she look ningekuwa sijaoa I'd ask her for that.But I'm married and my wife she is nice n sexy also makini na .............Na ndio maana nikasema its "just a compliment " na kikaomba ichukuliwe positive ,hili pia huelewi ,utakuwa kichwa ngumu kweli.
Where you can get law sue for compliment like that,I'm living in NY and this is how we do.

Mwisho you cant compare Regie with Sarah Palin ,Regie knows stuffs tumekuwa tuki brain storm hapa .Anyway how the H.E.L.L.O is Kingunge ,who cares about big name in CCM.To be upinzani thats mean you dont give dam about anybody in CCM.

You know what you need to listen to yourself when you talking,
Mjadala wako umesaidia to show how NEGATIVE you're :
Kuamini watu(Regie) hawezi kuimili mikiki where others (who are positive) beleave she is going to do good (we have reason to )
Kuwa negative about my compliment to Regie, nakuchukuwa compliment zango all the way your negative mind took you.

Ningependa hii thread iwe ya Regie not me ,usiharibu please .

Bahati yako siwezi ku comment zaidi kuhusu trivialities kama "looking good" kuhusiana na mgombea huyu.

Eti ume brainstorm hapa, mtu anaye brainstorm analia lia kwa maswali ya kawaida tu ?

Hii thread si ya Regia, wewe wala mimi, ni ya wananchi wa Tanzania ambao ultimately ndio watakaofaidika au kuumia kulingana na uchaguzi wa mbunge utakavyoenda, don't make this some cult of personality thing.This ain't Maoist China kwamba tunakuja kuimba zidumu sifa za Mwenyekiti Mao hapa.

Watu wengine tunaendeleza tradition ya JF, the place where we dwell

Where we dare to talk openly, ain't no moppin me
Ain't no stoppin me ahhhh

Usigfanye nikaandika Ode to JF hapa already

"
 
I'm living in NY and this is how we do.

you cant compare Regie with Sarah Palin ,Regie knows stuffs

To be upinzani thats mean you dont give dam

Looking good is added advantage you should know better than that.

But I'm married and my wife she is nice n sexy ...

Where you can get law sue for compliment like that,

others (who are positive) beleave she is going to do good
Tangazo hili kwa hisani ya ofisi ndogo ya New York ya Kampeni ya Mtema, Kilombero.
 
Huu ni mtizamo wako tu Kiranga na unachukuliwa hivyo.

Of course ni mtazamo wangu, kwani nimesema mtazamo wako? Point ya forum ni kila mtu kuleta mtazamo wake ili mitazamo ishindane katika marketplace of ideas.
Huwezi kuuliza maswali na pia ukalazimisha namna maswali hayo yatajibiiwa ... hata Bill O siku hizi ameanza kuwapa wageni wake nafasi ya kujibu maswali yao namna wanavyotaka.

Hakuna mtu anayelazimisha jinsi swali litakavyojibiwa, ingekuwa hivyo usingeweza kujibu tofauti na mimi. Mimi na employ a debate device ili kuweza kufanya mjadala uwe na momentum, nauliza swali litakalo provoke mawazo na majibu kadhaa tofauti, lakini badala ya kungojea majibu ambayo yanaweza kuchukua muda, natoa majibu yangu, ili kusudi hata kama mtu ana mawazo tofauti auone mtiririko wangu wa mawazo, na si tu ajibu swali moja, bali aweze hata kujua fikira zangu maswali mawili au matatu down the line. This is a common device hususan kama watu hamna access ya instantaneous communication, hii si TV, hata kwenye debate watu hufanya hivi.

Wewe unaweka standard zako ambazo tu ndizo zinatakiwa kufuatwa, how extreme can somebody be to be just like you?

Of course extreme is a relative word, to a pigmy, 5'5" may prove extremely tall, to a giant, not at all.

Don't convince me that you are a pigmy intellectually now.
This Lady is doing just fine.... so far mimi niko happy with and for her.

That is just your opinion, the facts, even those gleaned from JF, show a weak, unsure, self conscious, uninformed, vulnerable, inexperienced easily scared candidate.

And I can back each one of those words with an example from here. I didn't just write that to be spiteful.
 
Tindikali unaona hapo mtu sivyojua kufikiri?

Wachangia kampeni wote.

1. Huyu dada anafikiri ubunge ni kazi ambayo mtu yeyote anaweza kufanya.
2. Zaidi ya hapo kawatusi walalahoi wote wenye kazi za hali ya chini.

Swali, anaenda kumuwakilisha nani huko bungeni ?

Ndio mbadala wenyewe huu ?

No sio kila mtu anaweza kufanya ,watu wasiojiamini na negative kama ww itakuwa ngumu.
Watu wanao jiamini ,na wanaweza kudhubutu(who dare) kama Regie wanaweza kufanya vizuri sana ,hapa ulkiweka vituvingine costant kama elimu na nia thabiti(uaminifu kwa unaowakilisha)

CCM kutokana na mtando wa ufisadi waliojiwekea (not royal to wananchi)hata wawe na sifa gani kama hii costant approaches to zero then the result approaches to zero........hawafahi.
So mimi binafsi sitaki kuendelea na CCM cause for us wananchi what they give us approaches to zero ,nothing "nada" hence most of what we get from taxes and very thing go to Mafisadi.

So wa kitokea vijana kama kama Regie ,with mentors like Dr.Slaa ,Zitto............ I'm in it.
How do I beleave hata kuwa fisadi ,first hayuko ktk mtatandao huo hajaonyesha uroho huo,so I'm better off with ambaye hajawahi kuiba kuliko mtando wa wezi.
Second ndio maana ya Imani kama mtu hana historia mbay tunamini ataendelea kuwa mwema (If you Think positive) ingwa wanaweza kubadilika.So kwa tafsiri "Imani ni bayana ya mambo yasio onekana matarajio ya mambo yajayo
"Mimi naamini ktk Regie struggles for change "
Of course Ms.Regie kasema sahihi anybody can be mbunge ukiwa na sifa,umri haumati if you did yourhome work early ,think about ZItto he was young wwhen he first get into bunge and he still is.
Anaenda kuwakilisha nani ? Thats question for the agents.Definately Kilombero people.
 
Tangazo hili kwa hisani ya ofisi ndogo ya New York ya Kampeni ya Mtema, Kilombero.

Mazee nchi yetu ina safari ndefu sana, clowns everywhere, kuanzia wagombea ubunge mpaka supporters wao.

Huyo mjomba mjomba utafikiri vile kaja na mbio za mwenge wa Statue of Liberty. LOL

Don't y'all make me rain hot nails on y'all lil brothers tails, I don't do it, I overdo it.
 
Of course ni mtazamo wangu, kwani nimesema mtazamo wako? Point ya forum ni kila mtu kuleta mtazamo wake ili mitazamo ishindane katika marketplace of ideas.

That's right

Hakuna mtu anayelazimisha jinsi swali litakavyojibiwa, ingekuwa hivyo usingeweza kujibu tofauti na mimi. Mimi na employ a debate device ili kuweza kufanya mjadala uwe na momentum, nauliza swali litakalo provoke mawazo na majibu kadhaa tofauti, lakini badala ya kungojea majibu ambayo yanaweza kuchukua muda, natoa majibu yangu, ili kusudi hata kama mtu ana mawazo tofauti auone mtiririko wangu wa mawazo, na si tu ajibu swali moja, bali aweze hata kujua fikira zangu maswali mawili au matatu down the line. This is a common device hususan kama watu hamna access ya instantaneous communication, hii si TV, hata kwenye debate watu hufanya hivi.

Na hiki ndicho najaribu kupoint out

Of course extreme is a relative word, to a pigmy, 5'5" may prove extremely tall, to a giant, not at all.

Don't convince me that you are a pigmy intellectually now.

It is the other way around, if u havent noticed

That is just your opinion, the facts, even those gleaned from JF, show a weak, unsure, self conscious, uninformed, vulnerable, inexperienced easily scared candidate.

And I can back each one of those words with an example from here. I didn't just write that to be spiteful.

Again,

these are not facts, just an opinion from one and only one ... Kiranga.

So far,

Facts are: The lady 3.... Kiranga 0

87th minute
 
No sio kila mtu anaweza kufanya ,watu wasiojiamini na negative kama ww itakuwa ngumu.
Watu wanao jiamini ,na wanaweza kudhubutu(who dare) kama Regie wanaweza kufanya vizuri sana ,hapa ulkiweka vituvingine costant kama elimu na nia thabiti(uaminifu kwa unaowakilisha)

CCM kutokana na mtando wa ufisadi waliojiwekea (not royal to wananchi)hata wawe na sifa gani kama hii costant approaches to zero then the result approaches to zero........hawafahi.
So mimi binafsi sitaki kuendelea na CCM cause for us wananchi what they give us approaches to zero ,nothing "nada" hence most of what we get from taxes and very thing go to Mafisadi.

So wa kitokea vijana kama kama Regie ,with mentors like Dr.Slaa ,Zitto............ I'm in it.
How do I beleave hata kuwa fisadi ,first hayuko ktk mtatandao huo hajaonyesha uroho huo,so I'm better off with ambaye hajawahi kuiba kuliko mtando wa wezi.
Second ndio maana ya Imani kama mtu hana historia mbay tunamini ataendelea kuwa mwema (If you Think positive) ingwa wanaweza kubadilika.So kwa tafsiri "Imani ni bayana ya mambo yasio onekana matarajio ya mambo yajayo
"Mimi naamini ktk Regie struggles for change "
Of course Ms.Regie kasema sahihi anybody can be mbunge ukiwa na sifa,umri haumati if you did yourhome work early ,think about ZItto he was young wwhen he first get into bunge and he still is.
Anaenda kuwakilisha nani ? Thats question for the agents.Definately Kilombero people.

Huyu hawezi kufanya wala hajiamini, angejiamini tusingemlazimisha kujionyesha hapa. Sasa alichokuwa anaficha nini?

Kama tatizo lingekuwa ni tunataka mbunge anayeweza ku DARE tu mbona wabunge tungepata kibao, tatizo una dare unajua issues? Unaweza communication? Unawweza kwenda toe to toe ku discuss mambo? Una vision? Una strategy? huyu dada vyote hivi hana.

Wewe unaweza kuniona mimi niko negative, wengine wanaweza kuona nafanya kazi nzuri ku challenge mambo kabla huyu dada hajaingia mtaani kufanya kampeni sehemu fulani, au kama akichaguliwa, kabla hajaingia mjengoni.Hivi vitu ni necessary, kama hamna challenge hamna growth, sasa wote tukimuimbia sifa mfalme kavaa koti zuri hata kama mfalme yuko uchi hili halimsaidii mfalme hata kidogo.

Nimeongelea kwamba kama kuna sababu ya kumpigia huyu dada kura ni kwa kuwa tu ni mbunge wa CHADEMA, yeye mwenyewe kama mbunge hana merit yoyote kwa hiyo hiyo point ya kuwasaga CCM ni moot, hili linajulikana na mimi CCM siwapendi.Lakini does that mean wapinzani nao walete wagombea weak ? oes that mean tuwaimbie sifa just because ni wagombea wa upinzani? Hasha, mimi humo simo.

Umeongea kuhusu mentoring, sawa, mimi pia naamini katika mentoring. Lakini unapofanya mentoring si unachagua the best heads pia? Is this the best CHADEMA can do ? Vigezo gani vimetumika kumchagua huyu kuwa mgombea? Maana cha uwezo sikioni. Naona kulialia, matusi ya rejareja hata kwa supporters wake (kakashifu wabeba boksi, wakati watu washaanza kumchangia fedha hapa, wengine wanaofikiria kufanya hivyo ni hao hao wabeba boksi wanaojiona wako mbali hawawezi kupiga kura bora wachanguie hela kampeni ya upinzani) huyu dada kawabeza, hivi huyu mtu ana akili kweli huyu? Ana strategy kweli huyu?

Lazima muelewe kuwa sina nia ya kufanya hivi ili kuwa malicious au kufurahisha nafsi yangu tu, huyu dada ana serious character flaws ambazo kama system ya vetting ingefanyika vizuri asingepita. Ninatilia mashaka system ya vetting ya CHADEMA.
 
Kiranga,

So far, mashaka na hofu zote ziko kwenye hiyo vetting system mpya unayotaka kutumia kwa chadema. Chadema is doing just fine with this lady.
 
Regia waombe radhi wabeba box wote au sivyyo utawathibitishia kwamba una kiburi, husikilizi ushauri, na hutaki kujifunza kutokana na makosa yako.
 
Kiranga,

So far, mashaka na hofu zote ziko kwenye hiyo vetting system mpya unayotaka kutumia kwa chadema. Chadema is doing just fine with this lady.

Kama mgombea mwenyewe ndiyo huyu, CCM wanashinda kama kumsukuma mlevi vile, wanna put your money where your mouth is ? Wana put your reputation on the line here ?
 
Regia waombe radhi wabeba box wote au sivyyo utawathibitishia kwamba una kiburi, husikilizi ushauri, na hutaki kujifunza kutokana na makosa yako.

ha ha ha ha

kiranga bana, sasa unatafuta another angle nyingine ya ku-push ugomvi (yup, huu ni ugomvi) wako dhidi ya huyu dada?
 
Kama mgombea mwenyewe ndiyo huyu, CCM wanashinda kama kumsukuma mlevi vile, wanna put your money where your mouth is ? Wana put your reputation on the line here ?

Trust me,

CCM wakiamua kushinda, hata ukimsimamisha Kiranga (plus NN, Mwanakijiji, etc) bado ngoma inalala tu chini. Kama unabisha muulize Seif kule Zanzibar.

Katika Tanzania ya leo, sehemu ambayo naweza kuweka my reputation on line kuwa upinzani utashinda (na matokeo yasibadilishwe) ni kwenye ubunge kule Pemba tu na sio kwingine kokote.

Zaidi ya hapo, inategemea wakurya (wa Tarime) au wamasai (wa Karatu) wameamka vipi.
 
That's right

Na hiki ndicho najaribu kupoint out

It is the other way around, if u havent noticed

Again,

these are not facts, just an opinion from one and only one ... Kiranga.

So far,

Facts are: The lady 3.... Kiranga 0

87th minute

Dakika 90 ni uchaguzi, put your money where yoour mouth is, how much do you wanna bet?

I say she will never make it, what say you? How much are you willing to bet?

Where I'm from when you say shyt you gotta back it up with some action to show conviction.
 
ha ha ha ha

kiranga bana, sasa unatafuta another angle nyingine ya ku-push ugomvi (yup, huu ni ugomvi) wako dhidi ya huyu dada?

Mimi sina ugomvi, naepusha ugomvi.

Anaweza kwenda bungeni na kutukana watu wa nchi nyingine ikawa scandal mbunge wa Tanzania kawatukana waKenya, he mwisho ikawa vita.

I am not saying that will happen, but again I am using an extreme vehicle to illustrate a point.

Sasa ni bora kumuonyesha wazi kwamba huyu dada ana kidomo kisicho break wala kufikiri mara mbili na hajui diplomacy, atatulipukia huko mbele.

Siku akilipuka msiseme Kiranga hakuwaambia.

Bado sijamuona kuwaomba radhi jumuiya ya wabeba box yenye machungu sana baada ya kusalitiwa na kutusiwa na mtu ambaye walifikiri ni mpiganaji wao.

Mdada hajaingia mjengoni kashaanza kuwa snob wafanyakazi hivyo, je akiingia?

Anayewika kwa ku snob Wafanyakazi ni Kikwete, kumbe Regia wa CHADEMA naye yumo.
 
Dakika 90 ni uchaguzi, put your money where yoour mouth is, how much do you wanna bet?

I say she will never make it, what say you? How much are you willing to bet?

Where I'm from when you say shyt you gotta back it up with some action to show conviction.

CCM wakiamua kushinda, hata ukimsimamisha Kiranga (plus NN, Mwanakijiji, etc) bado ngoma inalala tu chini. Kama unabisha muulize Seif kule Zanzibar.

Katika Tanzania ya leo, sehemu ambayo naweza kuweka my reputation on line kuwa upinzani utashinda (na matokeo yasibadilishwe) ni kwenye ubunge kule Pemba tu na sio kwingine kokote.

Zaidi ya hapo, inategemea wakurya (wa Tarime) au wamasai (wa Karatu) wameamka vipi.

So far, as longer as we are talking about Tanzanian politics? my shyt will remain somewhere hanging to dry. I aint backing up anything.

I have been there, have seen it all.

Elections are decided by the power to be (most of the time)... so for now my friend, I will keep my money thanks very much.
 
Trust me,

CCM wakiamua kushinda, hata ukimsimamisha Kiranga (plus NN, Mwanakijiji, etc) bado ngoma inalala tu chini. Kama unabisha muulize Seif kule Zanzibar.

Katika Tanzania ya leo, sehemu ambayo naweza kuweka my reputation on line kuwa upinzani utashinda (na matokeo yasibadilishwe) ni kwenye ubunge kule Pemba tu na sio kwingine kokote.

Zaidi ya hapo, inategemea wakurya (wa Tarime) au wamasai (wa Karatu) wameamka vipi.

Unaona mshaanza kununua insurance policy, mgombea weak kichizi mshaanza ku insinuate CCM wataiba kura.

Kuiba kura kwa mgombea huyu ni kum flatter, huyu hana haiba ya kuibiwa kura, atawapa mwenyewe kwa gaffe zake.

Hajaomba radhi kwa jumuiya ya wabeba box bado, tunasubiri, hiki kiburi anatoa wapi hata mjengoni hajaingia bado?

Au nndiyo mambo ya "Sophia Simba hahitaji merit" haya ? Trouble is Sophia Simba ana ruling party, huyu naye ana nini? Helikopta ya CHADEMA?

Jumuiya imeitisha kikao cha dharura kujadili kuondoa mpango wa kumchangia mgombea huyu, mgombea ameonekana hana adabu wala hekima.
 
Hapana Kiranga,

Wewe ulikwenda kwenye one extreme, na mimi nikaenda kwenye the opposite extreme as far as I could.

Hajaomba radhi kwa jumuiya ya wabeba box bado, tunasubiri, hiki kiburi anatoa wapi hata mjengoni hajaingia bado?

Au nndiyo mambo ya "Sophia Simba hahitaji merit" haya ? Trouble is Sophia Simba ana ruling party, huyu naye ana nini? Helikopta ya CHADEMA?

Ushaanza viroja sasa, hoja zimekwisha nini?

Jumuiya imeitisha kikao cha dharura kujadili kuondoa mpango wa kumchangia mgombea huyu, mgombea ameonekana hana adabu wala hekima.

Watu watachangia ila wewe na tindikali mtakaa tu na pesa zenu, wengine mhhhh kama kumsukuma mlevi all the way mpaka ikulu.

Michango ni kama kawa... for you my friend (msemo wa McCain) just keep your money with you.
 
Hivi Kiranga huwa unalala wakati gani yaani nimelala nimekuacha unabishana nimeamka bado unabishana tu, kama ni US wenzako ndio wanaamuka kama ni UK wamelala kama ni TZ wamelala sasa wewe huwa unalala saa ngapi na kazi unafanya saa ngapi. Unajua kulala ni kupumzisha akili labda ndiyo maana unaishia kubishana. Umekalia kubisha tuu kila kitu kinacholetwa na wengine ungekuwa unazungumza nafikiri mapovu yangekuwa yanakutoka mdomoni. Samahani wana jamvi kuwa off topic.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom