[emoji15] [emoji15] [emoji15] ,TRA wataendelea kujihesabia chaoRahisi tu, ukifika sea view pale tupa madocument yote chini ya daraja
Waandikie barua mamlaka husika kuhusu kusitisha biashara,ili wakuondoe kwenye kodiMimi nimekuwa nikifanya biashara muda mrefu,nataka kuachana na biashara ili niangalie mambo mengine. Sasa nawezaje kuachana na hii leseni ya biashara na tini namba?
Na hakikishe TRA hawamdai chochote na kama Ana deni a clear kwanza,bila ivyo TRA watamuwinda milele!Andika barua tra wapelekee ,waeleze na sababu
Ku-maintain biashara ikasimama siyo jambo dogo hata kidogo.biashara inataka uvumilivu na kujituma ukifanya biashara kwa mazoeya utafunga!Kweli maisha yamebadirika sana mimi nataka niache ufundi nifanye biashara wewe unataka kuacha biashara ufanye nini tutakimbilia wapi kwa hali hii inavyozidi kuwa tete
Sio kila MTU amezaliwa kufanya biashara wengine wamezaliwa kuwafanyia kazi wenzao..mwache aende alipopachagua..Kwa ushauri usifunge biashara;'mjasiriamali hafungi biashara bali anapambana nayo mpaka inasimama,ila mfanyabiashara anayumbishwa na mabadiliko ya mauzo' kama wewe ni mjasiriamali pambana,na kama wewe ni mfanyabiashara endelea na uamuzi wako.