Nimeshindwa kabisa kuacha kamari wenzangu mliwezaje?

Nimeshindwa kabisa kuacha kamari wenzangu mliwezaje?

DR SANTOS

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2019
Posts
12,846
Reaction score
28,106
Ninapozungumzia kamari siyo hii mikeka ya jero. Nazungumzia spin and win, Trukey, Russian and European roulette, poker, black jack, Barrancas wheel of fortune nk, hizi unacheza na dealers yaani ni kugongwa tu.

Kuna movie zinaitwa šŸ‘‰God of gamblers 1, 2 , 3 weonesha uhuni wote unaofanywa na wamiliki wa ma cassino, na uchawi pia upo.

Hizi kitu zinamaliza hela asimwambie mtu🚮😬. Naandika haya baada ya kuliwa sana siku ya leo mapemaaaa cassino.

Yaani najiona nikilala saa mbili usiku kinyonge sanašŸ˜“.
 
 
Ninapozungumzia kamari sio hii mikeka ya jero. Nazungumzia spin and win, trukey ,Russian and European roulette, poker, black jack, Barrancas wheel of fortune nk
Hizi unacheza na dealers yaani ni kugongwa tu.

Kuna movie zinaitwa
[emoji117]God of gamblers 1, 2 , 3 weonesha uhuni wote unaofanywa na wamiliki wa ma cassino, Na uchawi pia upo

Hizi kitu zinamaliza ela asimwambie mtu[emoji706][emoji51]
Naandika haya baada ya kuliwa sana siku ya Leo mapemaaaa cassino
Yaani najiona nikilala saa mbili usiku kinyonge sana[emoji29]

We konk kwel hata ukipupuswa pesa zote bado huna hamu ya kuacha
 
Tuma request waifungie account yako. Kuna option ya wewe kudelete au kuwasiliana nao wakufungie account.
 
Back
Top Bottom