Ninapozungumzia kamari sio hii mikeka ya jero. Nazungumzia spin and win, trukey ,Russian and European roulette, poker, black jack, Barrancas wheel of fortune nk
Hizi unacheza na dealers yaani ni kugongwa tu.
Kuna movie zinaitwa
[emoji117]God of gamblers 1, 2 , 3 weonesha uhuni wote unaofanywa na wamiliki wa ma cassino, Na uchawi pia upo
Hizi kitu zinamaliza ela asimwambie mtu[emoji706][emoji51]
Naandika haya baada ya kuliwa sana siku ya Leo mapemaaaa cassino
Yaani najiona nikilala saa mbili usiku kinyonge sana[emoji29]