Nimeshindwa ku-upload CV yangu kwenye website ya NMB

Nimeshindwa ku-upload CV yangu kwenye website ya NMB

Joined
Jan 6, 2012
Posts
31
Reaction score
4
Habari wandugu. kwa yeyote anayeweza kunisaidia namna ya ku-upload CV kwenye website ya Bank ya NMB. Mimi kila ninapo upload inanikatalia. Please help!
 
Kwann ikatae hebu screen shot wanaleta ujumbe gani
Hiyo CV yako umeiweka kwa PDF Fanya hivo kwanza
 
Best way screenshot hakuna ambaye uko nae chumbani kwako uko.
 
Back
Top Bottom