Mhandisi wa Umeme Member Joined Jan 6, 2012 Posts 31 Reaction score 4 Jul 12, 2020 #1 Habari wandugu. kwa yeyote anayeweza kunisaidia namna ya ku-upload CV kwenye website ya Bank ya NMB. Mimi kila ninapo upload inanikatalia. Please help!
Habari wandugu. kwa yeyote anayeweza kunisaidia namna ya ku-upload CV kwenye website ya Bank ya NMB. Mimi kila ninapo upload inanikatalia. Please help!
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Jul 12, 2020 #2 Wiele CV yako hapa utapata msaada.
Sirdirashy JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 3,243 Reaction score 3,047 Jul 13, 2020 #3 Kwann ikatae hebu screen shot wanaleta ujumbe gani Hiyo CV yako umeiweka kwa PDF Fanya hivo kwanza
Chisamba JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 1,521 Reaction score 787 Jul 13, 2020 #4 Best way screenshot hakuna ambaye uko nae chumbani kwako uko.