Nimeshindwa kumsahau

buno25

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
238
Reaction score
234
Mi ni kijana (me) miaka 30 Kuna kabinti hapa mtaani nilitokea kukupenda basi sikujivuta sana nikamtafuta nikachukua number za cm nikamuomba siku moja tupate wote chakula Cha usiku basi haikuwa tabu akakubali ile siku tuliyokutana kwa ajili ya chakula sikumwambia chochote kuhusu lengo langu la kuwa nae week iliyofuata nikamuomba tena tukutane akakubali tukakutana tena sehemu nyingine hapo ndipo nilipofunguka alinielewa ila hakutaka kunijibu pale akanambie nipeleke home nikifika tu nakutumia txt sikulazimisha sana nikafanya Kama alivotaka na kweli alivofika tu home mi hata kabla sijaondoka mtaani kwao majibu yakaja amekubali. Tazizo lipo hapa tokea siku hiyo hataki kukutana na mimi akiwa mwenyewe nyumbani kwangu anakuja lakinj akiwa na mwenzake ashafanya ivo mara mbili mara ya mwisho juzi jumamosi amekuja mwenyewe lakini akiwa MP (hakuwa na smartphone nikamnunulia japo ni cm ya bei rahisi) hicho kitendo Cha kuja mwenyewe alafu MP kilinikasirisha sana ukizingatia Kuna vitu vingi tu vinatokeaga vinavyo ashiria Kama kwangu anazuga tu ikiwemo kutokujibu msg kwa wakati hanitafuti mpaka Mimi nimtafute ukimuuliz sababu kibao ambazo kimsingi hazina mashiko. Sasa juzi nimeamua kugombana nae na nikachukua cm yangu ambayo nilimwambia nachukua cm yangu kwakuwa huna kumbu kumbu yoyote nzuri uliyo niacha zaidi ya furaha ambayo niliipata siku uliyoniambia upo tayari kuwa na mimi. Alitaka nimwachie hiyo cm ili nilikataa kata kata ila tokea nimechukua hiyo cm nafsi nimekuwa ikinisuta sana natamani nimrudishie ila sijui atanichukulia je kumpenda nampenda bado ila sitaki kuingia kwenye mahusiano yenye msongo kwa sasa Kwani umri nilio nao ni wa kufanya mahusiano thabiti kabisa. Ushauri wenu wana jamvi nimpe tu hii cm au nimpotezee maana sina dhamira ya kuendelea nae tena hata Kama yeye ata taka iwe ivo
 
Ana umri gani huyo bibie mpaka akusumbue mkuu
 
Dahh...masikini kijana wewe.. Hyo mtoto mgeni wa mambo hayo...

Dogo umempoteza kizembe kabisa. Kwanini usingekuja omba ushauri kabla tukuambie cha kufanya.

Haya rudisha cm hyo na uapologaize.

Huyu kashakubali huyu.. Alipo sema yuko mp alitaka uwe rude kidogo...hakua wala nini. Jiongeze next tym.
 
Jichanganye na wadada wengine utamsahau fasta.
Ila pia kuna mademu kuwasahau ni ngumu sana. Mimi yupo mmoja licha ya kujimix saaaaana ila kichwani hatoki, kagoma kabisa!
 
Alitaka niwe rude akaweka hadi pedi mkuu. Maana mwenyewe niliwaza ulichokiwaza alivoona simwelewi alisimama akapandisha sketi kasogeza pichu pedi hiyo hapo ikabidi niwe mpole tu
 


ungemnunulia nguo za ndani ungeenda kuzichukua? hujafanya vizuri
 
Achana nae ji keep busy hakupendi huyo,bora ulivyo mnyan`gan`ga simu na hata kama kuna kingine ulimnunulia kakichukue na kile chakula ulichomnulilia kamtapishe ili akue kiakili haiwezekani akubali offer zote hizo halafu akuzingue Ebo!!
 
Achana nae ji keep busy hakupendi huyo,bora ulivyo mnyan`gan`ga simu na hata kama kuna kingine ulimnunulia kakichukue na kile chakula ulichomnulilia kamtapishe ili akue kiakili haiwezekani akubali offer zote hizo halafu akuzingue Ebo!!
Hahaha nimecheka sana.
 
Umekosea kuchukua simu ...Fanya umrudishie ..ila pia uandishi wako unaonekan umevurugwa kweli maan unatiririka tuu bila at vituo...pole mkuu tafuta atakaekufaa ila kuw makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…