Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haya mwambie akurudishie na zile pesa za kujikimu basiii???? kubali umechunwa na mbunye hujapata.....cm jifariji nayo....songa mbele.....utachunwa sana dogo...Baaday ya kununua cm yangu iliyofuata ni ya mama
unamhudumia yeye mgonjwa?? sema kanichuna na K yake kaninyima ndo maana nikamnyag'anya simu........Unaongea Kama hujawahi kumuhudumia msichana asee
Mbona nimeweka mambo wasi tu angekuwa amenipa hiyo k yake ningemwachia hiyo cm kama mafao yake tuunamhudumia yeye mgonjwa?? sema kanichuna na K yake kaninyima ndo maana nikamnyag'anya simu........
wanaume tunahudumia familia.....madem tunahonga......mbwiga wewe.....
Be a gentleman...Then nilitakiwa nifanyeje? Nimwachie kwa lipi? Maana hata kugonga sijawahi kugonga hapo sijaandika hela nilizokuwa nampa kwa ajili ya kujikimu
Miaka 23 sio kabinti....Ana miaka 23
ushachunwa dogoMbona nimeweka mambo wasi tu angekuwa amenipa hiyo k yake ningemwachia hiyo cm kama mafao yake tu
Huwa wanatoka inabidi umake a lot of effortJichanganye na wadada wengine utamsahau fasta.
Ila pia kuna mademu kuwasahau ni ngumu sana. Mimi yupo mmoja licha ya kujimix saaaaana ila kichwani hatoki, kagoma kabisa!
Una miaka 30 bado hujajielewa bado au ndo kwanza unaanza mapenzi???achana nae huyo tafuta wa size mfanye maishaMi ni kijana (me) miaka 30 Kuna kabinti hapa mtaani nilitokea kukupenda basi sikujivuta sana nikamtafuta nikachukua number za cm nikamuomba siku moja tupate wote chakula Cha usiku basi haikuwa tabu akakubali ile siku tuliyokutana kwa ajili ya chakula sikumwambia chochote kuhusu lengo langu la kuwa nae week iliyofuata nikamuomba tena tukutane akakubali tukakutana tena sehemu nyingine hapo ndipo nilipofunguka alinielewa ila hakutaka kunijibu pale akanambie nipeleke home nikifika tu nakutumia txt sikulazimisha sana nikafanya Kama alivotaka na kweli alivofika tu home mi hata kabla sijaondoka mtaani kwao majibu yakaja amekubali. Tazizo lipo hapa tokea siku hiyo hataki kukutana na mimi akiwa mwenyewe nyumbani kwangu anakuja lakinj akiwa na mwenzake ashafanya ivo mara mbili mara ya mwisho juzi jumamosi amekuja mwenyewe lakini akiwa MP (hakuwa na smartphone nikamnunulia japo ni cm ya bei rahisi) hicho kitendo Cha kuja mwenyewe alafu MP kilinikasirisha sana ukizingatia Kuna vitu vingi tu vinatokeaga vinavyo ashiria Kama kwangu anazuga tu ikiwemo kutokujibu msg kwa wakati hanitafuti mpaka Mimi nimtafute ukimuuliz sababu kibao ambazo kimsingi hazina mashiko. Sasa juzi nimeamua kugombana nae na nikachukua cm yangu ambayo nilimwambia nachukua cm yangu kwakuwa huna kumbu kumbu yoyote nzuri uliyo niacha zaidi ya furaha ambayo niliipata siku uliyoniambia upo tayari kuwa na mimi. Alitaka nimwachie hiyo cm ili nilikataa kata kata ila tokea nimechukua hiyo cm nafsi nimekuwa ikinisuta sana natamani nimrudishie ila sijui atanichukulia je kumpenda nampenda bado ila sitaki kuingia kwenye mahusiano yenye msongo kwa sasa Kwani umri nilio nao ni wa kufanya mahusiano thabiti kabisa. Ushauri wenu wana jamvi nimpe tu hii cm au nimpotezee maana sina dhamira ya kuendelea nae tena hata Kama yeye ata taka iwe ivo