Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Acha tu huku ni burudani tuUmeonaeeh?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha tu huku ni burudani tuUmeonaeeh?
Ila ni Vema kupata burudani angalau upoteze stress kidogo aiseeAcha tu huku ni burudani tu
Eti hadi msosi alomgharamia anautaka sasa si huo msosi ushakuwa kinyesi mimi ningemchotea wallah nikampa nao aende nao tuKama ungelikuwa muungwana ungemwachia Cm na ingekuwa rahisi kumsahau na ni yeye angekukumbuka na angekumbuka pia kuwa hajakutendea haki angerudi miguu yote, lakini umempokonya cm na imekua kidonda kila ukiiona unamkumbuka, hapo unatangaza ujinga ulio nao kuwa ukioa utamnunulia mke nguo lakini mkiachana unachukua zote
Yap maana vyuma vimekaza na grisi hamnaIla ni Vema kupata burudani angalau upoteze stress kidogo aisee
Hilo chizi na ninaimani hata hajakamilika katika kuwa mwanaume maana katika ukamilifu wa mwanaume ni kumvumilia mwanamke hasa anapo kuwa kwao, halafu aibu kubwa kumuacha mwanamke akiwa period ni ujinga na kutojitambua mwanaume na angekuwa anajua kuwa kile ndio kipindi cha kumuonyesha mwanamke mapenzi yote akimaliza c atakupa tuu kwani ni ya milele?Eti hadi msosi alomgharamia anautaka sasa si huo msosi ushakuwa kinyesi mimi ningemchotea wallah nikampa nao aende nao tu
Hahahaa kakaako chizi ujue hivi kweli anatutuma kwenda kuiba grisi ili tulegeze vyuma [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Yap maana vyuma vimekaza na grisi hamna
Jamaa mshamba KweliHilo chizi na ninaimani hata hajakamilika katika kuwa mwanaume maana katika ukamilifu wa mwanaume ni kumvumilia mwanamke hasa anapo kuwa kwao, halafu aibu kubwa kumuacha mwanamke akiwa period ni ujinga na kutojitambua mwanaume na angekuwa anajua kuwa kile ndio kipindi cha kumuonyesha mwanamke mapenzi yote akimaliza c atakupa tuu kwani ni ya milele?
Huyu buraza tumzoee tu labda alikuwa na frustrationsHahahaa kakaako chizi ujue hivi kweli anatutuma kwenda kuiba grisi ili tulegeze vyuma [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mshamba kuliko hata mshamba mwenyewe, mi mshamba ila yeye kanizidi aiseeJamaa mshamba Kweli
Ningemfuata hadi kwa baba ake dadeqUnavyoonekana hata wewe sio muhenga wa haya mambo. Bado underground sana na mambo ya wanawake. Unakubali vipi kumpoteza binti kizembe hivyo? Hizo mbinu hutumiwa sana na wanawake wa kileo ili kupima upepo kwanza. Kwanza hukutakiwa kuonyesha tamaa kama ya fisi kwenye swala la ngono. Ww kuwekewa tomato na pedi siku moja tu ukaliamsha mdude. Je ungetelekezwa lodge ukalala peke yako na gharama kibao umelipia si ungetoka nakolomeo la mtu ww? Badilika kijana utawapoteza wengi na utaumia sana nafsini mwako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]umeona eeh,akabebe tu kinyesi hamna namna!Kama msosi kashaunya akachukue kinyesi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] oukei
Sasa kama frustrations zake sisi anatuleteaje kama sio kutuua jamani? Ila ngoja twende nae tuoneHuyu buraza tumzoee tu labda alikuwa na frustrations
Kabisa aende kwa kabinti achotewe vyuku vyake[emoji23] [emoji23] [emoji23]umeona eeh,akabebe tu kinyesi hamna namna!
Hali mbaya kiukweli na mwenyewe hasikiiiiSasa kama frustrations zake sisi anatuleteaje kama sio kutuua jamani? Ila ngoja twende nae tuone
Inaonekana domo zege ndiyo maana ametumia mda mwingi katika kushawishi na vichakula na kasimuUna umri mkubwa ila akili yako ni Sawa na mtoto wa chekechea kwa uyafanyao.
Umri huo, ni wa kuwa na mke au mchumba wa kuoa mapema sana tena kwa mchumba unakuwa umechelewa.
Huo siyo umri wa kufukuzana na vibinti huko mitaani kwako kama wafanyavyo vijana wa primary na secondary schools.
Kijana, jitathimini upya uone kama unastahili kufanya unayoyafanya.
Bora basi angekuwa hata anajali pengine tungesema siku akisikia atajali lakini dooh, maskio katia pamba na hataki kujua kinachoendelea kabisaHali mbaya kiukweli na mwenyewe hasikiiii
Yeye si anajishibia hadi msosi wa usiku anapewa kwa raha zakeBora basi angekuwa hata anajali pengine tungesema siku akisikia atajali lakini dooh, maskio katia pamba na hataki kujua kinachoendelea kabisa