Nimeshindwa kumsahau

Nimeshindwa kumsahau

Kama ungelikuwa muungwana ungemwachia Cm na ingekuwa rahisi kumsahau na ni yeye angekukumbuka na angekumbuka pia kuwa hajakutendea haki angerudi miguu yote, lakini umempokonya cm na imekua kidonda kila ukiiona unamkumbuka, hapo unatangaza ujinga ulio nao kuwa ukioa utamnunulia mke nguo lakini mkiachana unachukua zote
 
Eti hadi msosi alomgharamia anautaka sasa si huo msosi ushakuwa kinyesi mimi ningemchotea wallah nikampa nao aende nao tu
 
Hilo chizi na ninaimani hata hajakamilika katika kuwa mwanaume maana katika ukamilifu wa mwanaume ni kumvumilia mwanamke hasa anapo kuwa kwao, halafu aibu kubwa kumuacha mwanamke akiwa period ni ujinga na kutojitambua mwanaume na angekuwa anajua kuwa kile ndio kipindi cha kumuonyesha mwanamke mapenzi yote akimaliza c atakupa tuu kwani ni ya milele?
 
Jamaa mshamba Kweli
 
Hahahaa kakaako chizi ujue hivi kweli anatutuma kwenda kuiba grisi ili tulegeze vyuma [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Huyu buraza tumzoee tu labda alikuwa na frustrations
 
Unavyoonekana hata wewe sio muhenga wa haya mambo. Bado underground sana na mambo ya wanawake. Unakubali vipi kumpoteza binti kizembe hivyo? Hizo mbinu hutumiwa sana na wanawake wa kileo ili kupima upepo kwanza. Kwanza hukutakiwa kuonyesha tamaa kama ya fisi kwenye swala la ngono. Ww kuwekewa tomato na pedi siku moja tu ukaliamsha mdude. Je ungetelekezwa lodge ukalala peke yako na gharama kibao umelipia si ungetoka nakolomeo la mtu ww? Badilika kijana utawapoteza wengi na utaumia sana nafsini mwako.
Ningemfuata hadi kwa baba ake dadeq
 
Una umri mkubwa ila akili yako ni Sawa na mtoto wa chekechea kwa uyafanyao.

Umri huo, ni wa kuwa na mke au mchumba wa kuoa mapema sana tena kwa mchumba unakuwa umechelewa.

Huo siyo umri wa kufukuzana na vibinti huko mitaani kwako kama wafanyavyo vijana wa primary na secondary schools.

Kijana, jitathimini upya uone kama unastahili kufanya unayoyafanya.
 
Inaonekana domo zege ndiyo maana ametumia mda mwingi katika kushawishi na vichakula na kasimu
 
Hali mbaya kiukweli na mwenyewe hasikiiii
Bora basi angekuwa hata anajali pengine tungesema siku akisikia atajali lakini dooh, maskio katia pamba na hataki kujua kinachoendelea kabisa
 
Yeye si anajishibia hadi msosi wa usiku anapewa kwa raha zake
 
Back
Top Bottom