Yaaaaah waongezee hata kumiii kulikooo kuwapaaa HV viumbe visivyokuwaa na akiliiUngeuliza kwanza Kama wazazi wangu wana cm au lah. Au kwa sababu ni wazazi hata Kama wanazo tayari tuwaongezee tu
Mi ni kijana (me) miaka 30 Kuna kabinti hapa mtaani nilitokea kukupenda basi sikujivuta sana nikamtafuta nikachukua number za cm nikamuomba siku moja tupate wote chakula Cha usiku basi haikuwa tabu akakubali ile siku tuliyokutana kwa ajili ya chakula sikumwambia chochote kuhusu lengo langu la kuwa nae week iliyofuata nikamuomba tena tukutane akakubali tukakutana tena sehemu nyingine hapo ndipo nilipofunguka alinielewa ila hakutaka kunijibu pale akanambie nipeleke home nikifika tu nakutumia txt sikulazimisha sana nikafanya Kama alivotaka na kweli alivofika tu home mi hata kabla sijaondoka mtaani kwao majibu yakaja amekubali. Tazizo lipo hapa tokea siku hiyo hataki kukutana na mimi akiwa mwenyewe nyumbani kwangu anakuja lakinj akiwa na mwenzake ashafanya ivo mara mbili mara ya mwisho juzi jumamosi amekuja mwenyewe lakini akiwa MP (hakuwa na smartphone nikamnunulia japo ni cm ya bei rahisi) hicho kitendo Cha kuja mwenyewe alafu MP kilinikasirisha sana ukizingatia Kuna vitu vingi tu vinatokeaga vinavyo ashiria Kama kwangu anazuga tu ikiwemo kutokujibu msg kwa wakati hanitafuti mpaka Mimi nimtafute ukimuuliz sababu kibao ambazo kimsingi hazina mashiko. Sasa juzi nimeamua kugombana nae na nikachukua cm yangu ambayo nilimwambia nachukua cm yangu kwakuwa huna kumbu kumbu yoyote nzuri uliyo niacha zaidi ya furaha ambayo niliipata siku uliyoniambia upo tayari kuwa na mimi. Alitaka nimwachie hiyo cm ili nilikataa kata kata ila tokea nimechukua hiyo cm nafsi nimekuwa ikinisuta sana natamani nimrudishie ila sijui atanichukulia je kumpenda nampenda bado ila sitaki kuingia kwenye mahusiano yenye msongo kwa sasa Kwani umri nilio nao ni wa kufanya mahusiano thabiti kabisa. Ushauri wenu wana jamvi nimpe tu hii cm au nimpotezee maana sina dhamira ya kuendelea nae tena hata Kama yeye ata taka iwe ivo

Kama amekuvulia hadi nguo na kukuonyesha nyeti zake zilizowekewa pedi, huyo ni wako ungemla tu!! Hukupaswa kupaniki, mabinti wengine ni wastaarabu hawawezi kutoa papuchi kirahisi rahisi.Alitaka niwe rude akaweka hadi pedi mkuu. Maana mwenyewe niliwaza ulichokiwaza alivoona simwelewi alisimama akapandisha sketi kasogeza pichu pedi hiyo hapo ikabidi niwe mpole tu
Akijibu nitagwewe ulikuwa unataka tuu mbunye.....hukuwa na malengo na binti wa watu.....wacha aende zake........mamako ulishawahi kumnunulia simu??
pesa za kujikimu wewe ni babake??Then nilitakiwa nifanyeje? Nimwachie kwa lipi? Maana hata kugonga sijawahi kugonga hapo sijaandika hela nilizokuwa nampa kwa ajili ya kujikimu
Kupenda kuna gharama.Unamnunuliaje mwanamke simuu!!!! Hauna wazazi wa kuwap hyoo cm
Dini hairusuhuUmeshindwa mwenyewe...alivyokuja peke yake hata kama yuko MP.....ulimuomba akakataa?pengine ana njia nyingine angekupa utumie....vijana mnaniangusha sana!!!yankuja kulialia humu wakati hukusoma alama za nyakati kwa uzembe wako....ndiyo maana kakukimbia manake anajua hujui kama kuna njia zaidi ya moja ..we unafikiri alikuja kufanya nini?
nimekuuliza mamako ushawahi kumnunulia simu....hujajibu bado....Kama unalijua hilo ungepinga pia la mimi kumnunulia cm kwa kigezo hicho hicho mimi sio baba ake