Haombwi na aliyempatia no ANAOMBWA na rafiki yake atumie kila mda ambaye dada yake ndiyo alimpa simu atumieAirudishe, maana kukataa kuirejesha kutazidisha kero zaidi, kuhusu files ni suala la kusema tu " sorry"
Dogo alipewa smartphone na dada wa rafiki yake ambaye ni mkubwa tu kaolewa na anafamilia kubwa.
Sasa simu ya rafiki yake ilipoharibika ANAOMBWA hii aliyopewa kila muda na rafiki yake kama watukimi wote haombwi na alimpatia
Kuna siku aliombwa akarudishiwa baadhi ya files zimefutwa je amumpe tu rafiki yake jumla kuondoa kero au afanyeje?
Mimi NIMESHINDWA cha kumshauri.
Alipewa kilimshangaza app zake kufutwa alijua ANAOMBWA tu normalKama alipewa basi ana haki ya kukataa kuazimisha simu yake kwa mtu yeyote yule,
Kama aliazimwa basi airudishe simu ya watu, tambua utofauti wa maneno Kupewa na Kuazimwa,
Ni hatari sana kutumia simu moja na watu wengine coz mobile phone considered a highly personal device coz it contain sensitive private data.