Nimeshindwa kumshauri dogo naombeni busara zenu

Mwambie dogo auze hiyo cmu akiombwa awaambie imepotea after cku 2 anunue nyingne maisha yasonge bt asinunue kama ile anunue ndogo yake au kubwa kuzidi hiyo. Mimi hilo lilishanitoe na nilipewa cmu na mtu hivo hivo na bro mtu akawa anakuja kuniomba atumie ilibidi niiuze nkaongeza pesa zingne nkanunua nyngne. Na nilishamzawadia mtu laptop ila mdogo wangu akawa anaacha yake anaenda kuifata ile coz ilikuwa kubwa kushnda yake {kuhusu ukubwa hapo muelewe ni rams cjui disk wakompyuta mnaelewa} sasa cku moja nikaona dogo ni kama hakufurahia mim kuigawa kule na niliyempa hafurahii dogo kuifata ikabid nimwambie kuepuka usumbufu aiuze anunue kama ya dogo na kesi ikaisha hivo.
 
Akili kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…