Nimeshindwa kumuelewa anamaanisha nini.

Nimeshindwa kumuelewa anamaanisha nini.

Mapenz Ya Maili Ndefu Mi Na2paga Kuleeee.....
 
Naombe ushauri wanaJF nina gf wangu wa mda mrefu kidogo, toka nimeanza kuwa nae sijawahi kusikia hichi kitu.
Nilimpigia simu siku tatu mfululizo hazipokelewi, ikanibidi na mimi nikae kimya, siku mbili baadae akanitext eti nimemsusa, nikaamua kumpigia sim baada ya kumuuliza kwanini hakupokea sim zangu akanijibu alikuwa hajisikii kupokea, eti kwasababu alikuwa period ki ukweli niliishiwa pozi, naombeni mawazo yenu juu ya hili nifanyeje?

Dah Tayari masela wamemega ugali Dah
Dunia hii nouma vumilia tu mkuu
itafika mahali utazoea lakini ni ugali wako angalia wasije wakamega wakamaliza kabisa
Na unafahamu kabisa kuwa dalili ya mvua mawingu
 
PERIOD,kutakuwa network inasumbua sana huko. si unajua hizi kampuni za simu za tanzania, mtandao ni miji mikubwa tu, huko ndani ndani kama period ni taabu sana.

Nlikuwa ctak kucomment ila hii lazma ncomment,Priod ajaribishe TTCL itakuwa inashka!
 
Nahisi na UMRI unahusika hapa..ana umri gani bana huyu mpenzi wako?
 
Kuna kitu kimoja unahitaji kufahamu. Period ni hali ngumu sana ambayo dada zetu wanapitia. Wanaume inatakiwa tuwe na emotional maturity ya kutambua hili.Kwa kukufahamisha tu, wapo ambao wanapatiwa mpaka sindano za masaa katika kipindi hicho. wapo ambao hata kula hawawezi, itakua hiyo kupokea simu?Jaribu kuzungumza nae, ili akueleze jinsi anavyojisikia anapokuwa ktk hali kama hiyo...................... Nawasilisha.
 
Period? Kaka naomba umchunguze kwa makini, pointless kama hizi huwa zinapunguza sana upendo.
 
Alikuwa period? Kwani ndo kavunja ungo? au period zote huwa hapokei simu yako?
 
Hili ndilo jibu thread closed!

Kuna kitu kimoja unahitaji kufahamu. Period ni hali ngumu sana ambayo dada zetu wanapitia. Wanaume inatakiwa tuwe na emotional maturity ya kutambua hili.Kwa kukufahamisha tu, wapo ambao wanapatiwa mpaka sindano za masaa katika kipindi hicho. wapo ambao hata kula hawawezi, itakua hiyo kupokea simu?Jaribu kuzungumza nae, ili akueleze jinsi anavyojisikia anapokuwa ktk hali kama hiyo...................... Nawasilisha.
 
Wewe kaka mungepewa kidogo mukajua pain yake ,,yaan nakuomba kwa hili mtahamilie yaan u can figure out ,,maumivu yke usishangae kuwa iyo simu hakupokea
 
Hata kama period inamsumbua...angepokea akakwambia hajisikii kuongea kwa kuwa anaumwa. Sasa hapokei kabisa...huyo atakuwa "cha kununa".
 
Back
Top Bottom