Naombe ushauri wanaJF nina gf wangu wa mda mrefu kidogo, toka nimeanza kuwa nae sijawahi kusikia hichi kitu.
Nilimpigia simu siku tatu mfululizo hazipokelewi, ikanibidi na mimi nikae kimya, siku mbili baadae akanitext eti nimemsusa, nikaamua kumpigia sim baada ya kumuuliza kwanini hakupokea sim zangu akanijibu alikuwa hajisikii kupokea, eti kwasababu alikuwa period ki ukweli niliishiwa pozi, naombeni mawazo yenu juu ya hili nifanyeje?
PERIOD,kutakuwa network inasumbua sana huko. si unajua hizi kampuni za simu za tanzania, mtandao ni miji mikubwa tu, huko ndani ndani kama period ni taabu sana.
Kuna kitu kimoja unahitaji kufahamu. Period ni hali ngumu sana ambayo dada zetu wanapitia. Wanaume inatakiwa tuwe na emotional maturity ya kutambua hili.Kwa kukufahamisha tu, wapo ambao wanapatiwa mpaka sindano za masaa katika kipindi hicho. wapo ambao hata kula hawawezi, itakua hiyo kupokea simu?Jaribu kuzungumza nae, ili akueleze jinsi anavyojisikia anapokuwa ktk hali kama hiyo...................... Nawasilisha.
miaka 24