Nimeshindwa kushangaa nikabaki nikisikitika tu

Nimeshindwa kushangaa nikabaki nikisikitika tu

AnyWayZ

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2022
Posts
4,880
Reaction score
8,424
Umu jf kuna majina Mengi ya ajabu ila hili la "Tsh" mimi limenipa kichwa Kuuma.

Jina gani linakudhoofisha kabisa humu ndani?
 
Back
Top Bottom