bongonyoo
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 604
- 883
Nimeshindwa kuvumilia jamani,hii kitu imepikwa wakiwa uchi ama vp?..mbona tamu kiasi hichi?..imani yangu inanikataza lkn naipiga krb mara 5 kwa wiki,,ni tamu haina mfano,,zingine siwezi,,HV wenzangu walioacha walifanyaje...TBL ni noma..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app