Uchaguzi 2020 Nimeshindwa kuwachangia makamanda, niliitupa line ya Voda

Uchaguzi 2020 Nimeshindwa kuwachangia makamanda, niliitupa line ya Voda

Kwani ni lini Chadema waliwaambia wafuasi wao kwamba waendelee kutumia line za Vodacom? Maana mimi najua lile katazo bado linaendelea pia wameongeza katazo lingine la kutonunu bidhaa za Mo kisa kampigia kampeni Magufuli Smba Day. Au viongozi wanatuwekea makatazo ilhali wao wanaendelea kutumia hizo bidhaa au ndo kukurupuka kwa viongozi wa Chadema bila logic za msingi?
Hapo ndio hata mm nashangaa, na hii imepelekea kushindwa kupata pesa kwa baadhi ya watu
 
Wewe ni mpumbav tu huna lolote ndio maana uzi wako hauna wachangiaji wengi!Wengi wanakuona poyoyo!
Juzi ulikuja na uzi kuwa huwezi kuchangia kwasababu hali yako ni ngumu kifedha,leo unasema sababu huna line ya voda!!
Mataga mmefeli propaganda,mko kama mazombie ty!
Ni kweli juzi hali yangu ilikuwa mbaya, ila jana na leo kuna mishe nimefanya nimepata pesa ila nashindaa kuchangia
 
Debe tupu haliachi kupiga kelele, Kama mtu anataka kuchangia jambo atahakikisha anachangia tu sababu atoaye hutoa katika hazina yake.
Kwa sisi ambao hatuna mpesa au tigo pesa au airtel money tunachangiaje?
 
Hata Tigo-pesa inashindikana. Nimejaribu mara kadhaa pesa inarudishwa. Ninyi viongozi wetu mtuambie la kufanya. Tunapenda sana kuchangia kampeni za CHADEMA.
Afadhali wewe una tigo pesa, sisi wengine wenye halo pesa tumetengwa.
 
Kwani ni lini Chadema waliwaambia wafuasi wao kwamba waendelee kutumia line za Vodacom? Maana mimi najua lile katazo bado linaendelea pia wameongeza katazo lingine la kutonunu bidhaa za Mo kisa kampigia kampeni Magufuli Smba Day. Au viongozi wanatuwekea makatazo ilhali wao wanaendelea kutumia hizo bidhaa au ndo kukurupuka kwa viongozi wa Chadema bila logic za msingi?
Kupingana na ulichokiongea ndio tabia ya wanasiasa, Rais Magufuli alisema kwenye serikali yake ukiharibu ndio byebye lakini Anne Kilango Malecela aliharibu kwenye ukuu wa mkoa tena akamdanganya rais na bado akapewa ubunge
 
Unakumbuka fedha zilizozuiwa bank na polisi zilizotoka nje kupitia NGO moja?
 
Wewe kila siku na michango tu, huna habari nyingine?
 
Back
Top Bottom