Nimeshindwa kwenda kazini sababu ya baridi, TANESCO wanahatarisha kibarua changu

Unazingua sasa
unazingua wewe au mimi? hebu rudia kusoma critically ulichoandika halafu toka nje ya topiki ukitafakari utaona kilicho ndani ya akili yako, yaani jichukulie kama wewe ndio unasoma kitu alichoandika mwingine halafu komenti
 
Kuna wezekano mkubwa wanaume wengi wa dar leo wameenda kazini bila kuoga wakisingizia baridi
Walisha leta uzi hapa asubuhi kwamba wameshindwa kutoka nje kwasababu ya baridi na mvua.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mmoja akaja na comment kwamba ameshindwa kufungua geti kwasababu ya mvua, ili atowe Mercedes Benz aende mlimani city kununua pizza kwaajili ya breakfast....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana aisee
 
anahitaji msaaada
 
Mkiitwa wanaume wa dar mnalia lia kuna baridi gani la kutaka uoge maji ya moto
 
Mkiitwa wanaume wa dar mnalia lia kuna baridi gani la kutaka uoge maji ya moto
Wa Dar....... bila maji ya moto hawogi, na bila chips mayai skuhiyo hawakuli...[emoji12] [emoji12]
 
Nadhani huyu ni mfanyakazi wa serikali na huenda mzee magu hajaangalia wafanyakazi wake baadhi walio wavivu km huyu.
Yaani ni kweli kuwa mtu unaishi mjini huna hata kajiko kadogo ka gas?
Au hata TV huna maana mamlaka ya hali ya hewa ilishatangaza kuhusu kuwepo kwa mvua juu ya wastani.
Ila ungefanya kazi na wazungu leo hii ulikuwa unafukuzwa ili ulale vizuri siku zote na kuendeleza uvivu forever.
Pia kama wewe unaipenda kazi yako, walau unatakiwa upige pasi usiku na kutayarisha kila kitu na si kusubiri hasubuhi.
Pole sana kwa ujinga huo. Sijui elimu yako km inakisaidia lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…