Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habiri za usiku huu wakuu..
Tafadhali usika na kichwa cha habari na unisaidie maoni yako ,
ni usiku huu wa saa 8:18 kuna mdada kaja kugonga kwa geti letu anaomba msahada lakn hyo dada alivo nikama hafanani na kuomba msahada
Kagonga sana hodi imenibidi ninyanyuke nifungue pazia nimchungulie,lkn niliona ni mdada wa lika langu..
hvo nime fungua dirisha kumsikiliza nikamwabia dada tukusaidie nini usiku huu, anacho dai anaomba msahada nimfungulie geti aingie akae hapo ndan
Nikamuuliza kwan waenda wapi wewe? akajibu kuna boda kaja naye kutoka usagara kamshusha hapo yeye kaondoka ambayo ni mwanza hyo...
Nikamuuliza na unako enda wap? akajibu naenda uko uko usagara? kidogo nikashitka
Nyumba nayo ishi mimi ni kubwa ina geti kumbwa na get ndogo 3 ambapo ukiachna na geti kubwa kuna flow 3 kila flow ina milango miwili namaanisha wapangaji wawili wawili na kule ndan geti kubwa kuna apartment 4 na wakaa wafanya kazi wa serikalin tu,
Hvo nikamulekeza dada azunguke get kubwa ili akutane na mlinzi aongee nae kama ata mruhusu kukaa akae uko
cha ajabu kaenda kagonga lakini mlinzi hayupo getini, ikabidi arudi kwangu ambapo amegonga geti bila ustarabu na kulalamika nimsaidie asubuhi ataondoka
Mimi nimeshindwa ata kufungua dirisha nimebaki namsikiliza tu kwa maan nilijiuliza maswali mengi sana kwa nini geti ili?! wakati kuna flow zingine anaweza gonga
Hyo imenifanya nifikilie mengi sana ikiwemo na roho ya huruma ila nimeona huruma mara nyingine uponza maan ukizingati jiran yangu yupo lkn hakuamka kumsikiliza
Moja kati ya niliyo yawaza ni hvi..
Kuna mbaba sio mtu mzima kivile ilikuwa juzi kati asubuhi naenda kazini alinikuta njiani natembea, hvyo akaomba anipe lift nilimwambia kuna boda anakuja kunipeleka lkn alinambia nimwambie boda aache tu yeye atanipeleka mpk kazin
Sikumkatalia hyo baba alikuwa na prado ya rangi ya blue hvo nilimpgia boda kumwambia aache tu kuja, na kupanda ndan ya gari akanipeleka mpk kazin,
Tukiwa ndan ya gari aliniuliza nina mahusiano nikamwambia ndio ninayo, aliomba namba ili awe ananisalimia,niliona kumnyima mtu kanipa lift sio vizuri
Alipo nifikisha job aliondoka kwan aliniambia anakwenda shinyanga yeye ni mfanya kazi wa serikalin na kazi anafanyia uko
Sasa leo bhna natoka job nipo namsubiri boda barabarn nikamuona na gari lake, kaja kaniambia anaomba anipeleke nyumbn, sikukataa niliingia kwa gari na mpk home, ilikuwa ni barbarn na ndo njia ya kwenda kwake
Nilipo fika nikamwambia nimefika tyar! akaniuliza kumbe ndo waish hapa? nikamwambia ndio!
Akauliza naweza kufika kwako?!!!!!
nikamwambia hapa akauliza sababu nikamjibu mimi na wew hatujuani isitoshe kwangu mimi anaruhusiwa kuja mtu mmoja tu ambaye ni mchumba angu
Dah yule baba amesikitika sanaaa na kuniambia mimi hyu siruhusiwi kufika kwako?! nikwambia ndio na ata kama tungekuwa tumezoeana bado usinge fika
Aliniambia asante nashukuru sana nikamwambia asante pia kwa lift
Nikashuka na kuelekea zangu getin alisubiri mpk nimeingia getin ndo akawasha gari akaondoka
Sasa ndo nawaza hapa asije kuwa ni mtego hyu dada hapa maan mpka muda huu yupo anagonga geti
Najiwazia kwa sauti huyu dada katumwa lbda aje anifanyie kitu kibaya,[emoji848][emoji848]
Maan ata kumsaidia nimeshindwa kwa kweli
Pia najiuliza mlinzi kaenda wap ina maan kumbe mlizi wetu halali lindoni na kila mwezi tunamlipa hela lkn leo kelele zote hzi za kukoseswa usingizi yeye kaenda kwake kumbe
Ndo hvo jmn mpk dakika hii ni saa tisa hyo dada yupo hapo, sijui nimsaidiaje....
Ata me nimwlifikilia ilo yawezekana kaja kuchora raman aone kama kuna ulinzi maan aligonga geti kwa fujo saana akitegemea lbda angetokea mlinzi mmmmh adi naogopa kukaa nyumba zaatajiri kutwa roho juu alafu hapa kuna supermarket pia pengine kweli ni michoroYaani umfungulie mtu usiyemjua usiku!!!!! Sio watu wote waendeshao magari/watembeao kwa miguu barabarani wana kazi halali, kumbuka pia wanawake/watoto wanatumiwa sana kwenye uhalifu. Hiyo nyumba mtaanza kuchorewa ramani muda si mrefu.